Recent Posts

PropellerAds

Wednesday, March 14, 2018

Kumtumainia Kristo katika Maisha Haya

Image result for 1 wakorintho 15:191 wakoritho 15:19

kama katika maisha haya tu tumemtumainia Kristo sisi tu masikini kuliuko watu wote, Lakini Kristo amefufuka katika wafu , limbuko lao waliolala.
Maana kwa kuwa mauti ililetwa na mtu,  kadhalika na kiyama ya wafu ililetwa na mtu kwa kuwa kama katika adamu wote wanakufa , kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.
Lakini ni kila mmoja mahali pake ni limbuko   Kristo atakapokuja.

ADUI YETU
Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti kwa kuwa  alivitiishA vitu vyote chini ya miguu yake. Lakini atakaposema vyote vimemtiishwa ni dhahiri ya kuwa yeye aliyemtiishia  vitu vyote hayumo.
Basi vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake ndipo mwana mwenyewe naye atiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba MUNGU awe yote katika wote.
Mazungumzo mabaya huaribu tabia njema  tumieni Akili kama ipasavyo, wala msitende dhambi  kwa maana wengine hawamjui MUNGU . ninasema haya  niwafedheheshe.

WAFU
lakini  labda mtu atasema  wafufuliwe wafu? Nao huja kwa mwili gani? Ewe Mpumbavu  huipandayo haioti, Isipokufa nayo  nayo  huipandayo huupandi mwili ule utakaokuwa, ila chembe tupu ikiwa ni ya ngano au nyingineyo.
Lakini Mungu huipa mwili kama apendavyo na kila mbegu mwili wake.
Nyama yote si nyama moja , ila nyingine ni ya wanadamu nyingine ya hayawani, nyingine ya ndege , nyingine ya samaki.
Tena kuna miili ya  mbinguni  na miili ya duniani lakini fahari yae ile ya mbinguni ni mbali  kuna fahari yake ile ya mbinguni ni mbali . kuna fahari yake ile ya duniani ni mbali kuna fahari moja ya jua na nyingine ya nyota.
kadhalika kiyama ya watu hupandwa katika udhaifu hufufliwa katika Nguvu hupandwa  mwili wa asili hufufliwa mwili wa roho Ikiwa uko mwili wa asili na wa Roho pia Uko.
Ndivyo ilivyoa andikwa , mtu wa kwanza Adamu akawa nafsi hai Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha.
Ndugu zangu , nisemayo ni haya ya kuwa nyama na damu haziwezi kuurithi ufalme wa MUNGU, wala uharibifu kurithi kutokuharibika.

Ku wapi Ewe mauti, kushinda kwako? U wapi Ewe mauti, Uchungu wako?
Uchungu wa mauti ni dhyambi na nguvu za dhambi ni torati. lakini Mungu ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo.

Basi ndugu zangu wapendwa muimarike,msitikisike mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana siku zote kwa kuwa mwajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana