Obama amuidhinisha Clinton kuwania urais Marekani
Rais wa Marekani Barack Obama
ametangaza kumuunga mkono Hillary Clinton kuwa mgombea urais wa chama
cha Democratic katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu
nchini Marekani.
Amechukua hatua hiyo muda mfupi baa…Read More
Bajeti ya Serikali 2016/ 2017 yawa kivutio cha watanzania. Bajeti ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya Tano
itaizidi ya Serikali ya Awamu ya Nne kwa Sh7.1 trilioni
baada ya Waziri wa Fedha kutangaza sura ya bajeti ya
mwaka 2016/17 inayoonyesha kutakuwa na makusanyo
na matumizi ya Sh29.5…Read More
Serikali ya Kenya yasema shisha ina Cocaine
Wizara ya afya ya Kenya imekuwa
ikitoa tahadhari dhidi ya matumizi ya uvutaji wa shisha ,katika siku hii
ya kuadhimisha siku ya tumbaku duniani.
Siku hii ilitengwa na Shirika la Afya duniani kuwaonya watu kuhusu hatari za…Read More
Atletico Madrid yatinga fainali ligi ya mabingwa
Klabu ya soka ya Atletico Madrid
imefanikiwa kutinga fainali ya klabu bingwa barani Ulaya kwa mara ya
pili ndani ya kipindi cha miaka mitatu baada ya kupata bao la ugenini
walipokipiga dhidi ya Bayern Munich ya Ujerumani…Read More
Waimbaji wa Abba wakutana baada ya miaka 30
Wanachama wanne wa bendi ya Abba wameonekana wakiwa pamoja nchini Sweden na kuwashangaza mashabiki kwa kuimba pamoja.
Nyota
hao walikusanyika siku ya Jumapili katika warsha moja ya kibinafsi,
kuadhimisha ushirikiano wa mia…Read More
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Do Everything Without Grumbling
-
[image: Image result for Do Everything Without Grumbling]“Do all things
without grumbling” (Philippians 2:14). It’s remarkably easy to breeze by
this comm...