Maafisa wa afya katika utawala wa Palestina wanasema
kuwa mvulana mmoja wa umri wa miaka kumi
ameuwawa na mashambulizi ya angani ya Israeli
kaskazini mwa Ukanda wa Gaza huku ndugu zake wawili
wakijeruhiwa.
Jeshi la Israeli lilisema kuwa lililenga ngome mbili za
Hamas kujibu mashambulizi ya roketi yaliyofaywa dhidi
ya Israeli.
Lilisema kuwa takriban makombora manne yaliyofyatuliwa
kutoka ukanda wa Gaza yalianguka eneo lililo wazi
karibu na mji wa Israeli wa Sderot.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
5 weeks ago