arekani imesema kundi la wapiganaji wa Kiislamu
linalojiita Islamic State (IS) limetekeleza mauaji ya
halaiki dhidi ya Wayazidi, Wakristo na waislamu wa
madhehebu ya Shia.
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani John Kerry
ametangaza IS, kundi ambalo limekuwa pia likiitwa
Daesh, kuwa la “mauaji ya halaiki kwa kujitangaza
kwenyewe, sera na matendo”.
Bw Kerry pia amesema kundi hilo limtekeleza makosa
ya uhalifu dhidi ya binadamu na mauaji ya kimbari.
Amesema Marekani imefikia uamuzi huo kwa kufuata
habari ambazo zimekusanywa na vyanzo mbalimbali.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
5 weeks ago