Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 62 imeanguka
ilipukuwa ikitua katika mjini ulio kusini mwa Urusi wa
Rostov-on-Don.
Hakukuwa na manusura kati ya abiria 55 na wahudumu
saba waliokuwa ndani ya ndege hiyo.
Ndege hiyo aina ya Boeng 737 iliyokuwa ikitoka Dubai
ilimilikiwa na shirika la Flydubai.
Ndege hiyo ilizunguka kwa karibu masaa mawili kabla
ya kufanya jaribio la pili la kutua kufutia hali mbaya ya
hewa.
Ilianguka mita mia kadha kutoka kwa barabara ya
uwanja ambapo ilivunjika na kushika moto.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
5 weeks ago