Katika barua ambayo imesainiwa na Naibu
Katibu Mkuu wa CUF Ahmed Nassor Mazrui na
kusambazwa kwa wanahabari leo Machi
18,2016, Wabunge wote wa Chama cha
Wananchi (CUF) wamejiondoa katika Bunge la
Tanzania katika kipindi cha 2015-2020 kwa
kile kinachotajwa kama kukiukwa kwa sheria za
uchaguzi na kuporwa haki katika uchaguzi wa
Zanzibar. Chini ni nakala ya barua kwenda
kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
Wanafunzi Kapeta,Kiwira warithishwa ari ya utunzaji mazingira
-
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), kwa kushirikiana na Shirika la
Utangazaji la Tanzania (TBC), wameendesha zoezi la upandaji miti katika
Shule ya msi...
9 hours ago