Msafara wa Wabunge wa Mkoa wa Pwani na RAS umepata ajali Bagamoyo - Kerege magari mawili yamegongwa na Lori , Gari na Mkurugenzi wa Bagamoyo na Gari la TASAF Bagamoyo madereva wote wawili wa hizo gari wamefariki hapo hapo na Afisa Mipango nae amefariki. Majeruhi wamekimbizwa Muhimbili hali mbaya
Wanafunzi Kapeta,Kiwira warithishwa ari ya utunzaji mazingira
-
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), kwa kushirikiana na Shirika la
Utangazaji la Tanzania (TBC), wameendesha zoezi la upandaji miti katika
Shule ya msi...
8 hours ago