Mwandishi aliyewakilisha kituo cha redio cha Sauti ya
Ujerumani (Deutsche Welle) visiwani Zanzibar Salma
Said na ambaye alitoweka Ijumaa, amepatikana.
Kamanda wa polisi wa Dar Simon Siro amethibitisha
kupatikana kwa mwanahabari huyo.
BBC imezungumza na Mume wa Salma Said, Bw Ali
Salim Khamis, ambaye amesema kwa sasa Salma yumo
anatoa maelezo kwa polisi Dar es Salaam.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
5 weeks ago