Recent Posts

PropellerAds

Friday, August 31, 2018

heshima kuu kutoka kwa Mungu mwenyewe

Ufunuo 5;9-10 “Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.” Kwa Neema yake Mungu hapo tulipokuwa wafu kwasababu ya dhambi alitufufua pamoja...

Lord, Make Me a City on a Hill

How many pastors would be ordained if Jesus examined them? Let me be more personal. Would Jesus have ordained me had he sat on my council of examiners? When I look back on my ordination exams, I wonder if I got off too easy. It’s not that the brothers who examined me pitched me softballs. They grilled me with difficult and complex questions. They required me...

Maneno Yetu Yanafunua Nini?

Linda Moyo Wako “Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.”—MITHALI 4:23.  Kwa nini tunahitaji kulinda moyo wetu? MZEE mmoja kwenye kisiwa cha Karibea alitoka mahali alipokuwa amejikinga na kimbunga. Alipotazama uharibifu uliokuwa umetokea mahali hapo, aliona kwamba mti mmoja mkubwa sana ambao ulikuwa umesimama kwa miaka mingi...