Recent Posts

PropellerAds

Friday, December 23, 2016

Trump aitaka Israel kusitisha ujenzi katika ardhi ya Palestina

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amelitaka azimio la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kusitisha ujenzi wa makaazi ya Israel katika ardhi ya Palestina. Katika taarifa iliotolewa kabla ya kura hiyo inayotarajiwa baadaye siku ya Alhamisi, Bw Trump amesema kuwa amani haitaafikiwa kupitia hatua ya Umoja wa Mataifa kuweka masharti. Azimio hilo litaagiza kwamba shughuli...

Trump aitaka m marekani kuboresha silaha za nuklia

Donald Trump ameitaka Marekani kuboresha zaidi uwezo wake wa zana za nuklia. Rais huyo mteule ambaye ataingia ofisini mwezi ujao amesema kuwa Marakani ni lazima ichukue hatua kama hizo, hadi wakati ulimwengu utatathmini suala la nuklia. Trump aliyazungumza hayo saa kaadha baada ya rais wa Urusi Vladimir Putin kusema kuwa Urusi inahitaji kuboresha uwezo wake silaha za nuklia Trump:...

Monday, December 19, 2016

Mwanamke alieolewa mara nyingi zaidi afariki.

Mwigizaji maarufu Zsa Zsa Gabor amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99. Mumewe wa sasa Frederic von Anhalt amesema mwigizaji huyo alifariki baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo akiwa amezingirwa na marafiki na jamaa. "Kila mtu alikuwa hapo. Hakufariki akiwa peke yake," Alitengeneza zaidi ya filamu sita lakini alijulikana zaidi kwa kuwa na wanaume wengi na kupenda almasi. Kwa...

Maajabu ya ziwa natron

TANZANIA NA MAAJABU YAKE Ni kweli usiopingika kuwa mazingira yetu yana mambo mengi ya kustaajabisha na kuvutia, kwa siku chache zilizopita nilielezea kuhusu uwepo wa ziwa lenye rangi ya pinki ambalo linapatikana Bara la Australia, kwa mshangao wa ajabu kabisa nikaja kugundua kuwa hata hapa Afrika yapo maziwa yenye rangi kama hiyo hasahasa la kule Senegal ambapo watu wake wanalitumia...

Sunday, December 18, 2016

God Loves to Work in Our Weakness

Although I ended cancer treatment in March, I am still very tired and limited in what I can accomplish as a full-time professor and in my many relationships with friends, relatives, and neighbors. My experience of weakness has been admittedly frustrating at times, but it has also been, by God’s good and gracious design, very beneficial for me and others. God...

I am Better Because I was Worse

He was diagnosed with Tuberculosis of the lung at a young age. Bed ridden, all he could do was imagine what could have been. The business man he could have become, the government official or maybe the preacher. He knew family members from his mother's side had died of Tuberculosis. It ran in the family. And so he lay there waiting to die. His parents, being believers,...

Mugabe kuwania uraisi 2018

Chama tawala cha Zimbabwe kimethibitisha kuwa rais Robert Mugabe ndiye mgombea wake wa uchaguzi wa 2018. Bw Mugabe ambaye ana umri wa miaka 92 amekuwa madarakani tangu taifa hilo lijipatie uhuru wake kutoka kwa Uingereza mwaka 1980. Katika mkutano wa chama hicho, idara ya vijana ya Zanu-PF ilitangaza kuwa Mugabe anafaa kuwa raia wa maisha . Hatahivyo kumekuwa na maadamano...

From Glory to glory

Perfection. Most of us understand the concept but have a hard time envisioning anything truly perfect. Everything in our earthly experience is flawed, imperfect. And for those who know and love the Lord, the imperfections we are most deeply aware of often tend to be our own. I’m not speaking of the frailties of our bodies—though we feel those all too well. But the imperfections...

Saturday, December 17, 2016

Ijue christmass na upagani

***neno lenye mguso*** �� Maelfu ya watu duniani leo wanaamini X-MASS ni sikukuu ya kuzaliwa_kwa_YESU japo wachache hawaamini. ������..Makundi haya mawili ; moja litakuwa SAHIHI, maana neno la Mungu halijipingi. ������ Hebu tuiulize BIBLIA itusaidie majibu ya waziwazi bila KUPINDISHA_maneno. �� Tuangalie X-mass (A) KATIKA BIBLIA AGANO JIPYA. (B) NA JINSI INAVYOHUSIANA NA: ����>NIMRODI...

Your valuable

"If people were made of fine china perhaps they would take far better care of themselves." We are all just a stroke away from being in a nursing home. We talk about what we are going to do with our lives currently. But our lives will be shortened, our quality of life reduced, and our accomplishments lessened if we do not maintain a proper diet with exercise. In a gym, resistance...

Malecela, Afisa mkuu wa NIMR aliyetangaza kuna Zika Tanzania atumbuliwa

Mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu nchini Tanzania (NIMR), Dkt Mwele Malecela, ambaye alitangaza kugunduliwa kwa virusi vya Zika nchini Tanzania, amefutwa kazi. Taarifa kutoka kwa mkurugenzi wa mawasiliano ya ikulu Gerson Msigwa inasema Rais wa John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi huyo mkuu. Taarifa hiyo hata hivyo haijaeleza sababu ya kufutwa...

Friday, December 16, 2016

Virusi vya zika vyangunduliwa tanzania

Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu, NIMR imethibitisha kugunduliwa kwa virusi vya Zika nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo, Dkt Mwele Malecela, virusi hivyo vimepatikana mkoani Morogoro, Mashariki mwa Tanzania na Mkoani Geita, kaskazini magharibi mwa Tanzania. Utafiti huo ulifanyika kutokana na uhalisia kuwa kuna mazingira yanayowezesha kuzaliana...

Wednesday, December 7, 2016

Wazazi ambao hujuta kwa kuzaa watoto

Mwandishi mmoja kutoka Ufaransa Corinne Maier, ana watoto wawili lakini ndoto yake ni kumuona kitinda mimba akikua na kuondoka nyumbani, akisema kuwa wamemchosha na kumfilisi. Yafuatayo ni baaadhi ya maoni ya wazazi wengi duniani kuhusu kuwalea watoto. Majuto Ni vizuri kufahamu kuwa si mimi peke yangu ninahisi kutokamilika kwa kuwa mama. Nikiwa ninawapenda watoto wangu wawili...

Tuesday, December 6, 2016

Ethiopia yazindua reli mpya ya kisasa

Ethiopia na Djibouti zimezindua reli ya kisasa ya treni za kutumia nguvu za umeme ambayo inaunganisha mji mkuu wa Addis Ababa na mji wa bandarini wa Djibouti. Reli hiyo imejengwa na kampuni mbili za Uchina, kwa gharama ya takriban dola 4 bilioni za Kimarekani ambazo zilitolewa na serikali ya Uchina kama mkopo. Reli hiyo inatarajiwa kuipa Ethiopia njia rahisi ya kufikisha bidhaa...

Thursday, December 1, 2016

Mti mrefu zaidi Afrika wagunduliwa Tanzania

Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania. Wanasayansi kutoka chuo cha Bayreuth nchini Ujerumani, wanasema wanaamini kuwa mti huo unaopatiknan karibu na mlima Kilimanjaro ndio mrefu zaidi barani. Mmoja wa wanasayansi hao alisema kuwa aliona mtu huo miaka 20 iliyopita,...