Recent Posts

PropellerAds

Sunday, April 30, 2017

Statement of Faith

Section 1: The Bible We believe the Bible, comprised of the Old and New Testaments, to be the inspired, infallible, and authoritative Word of God (Matthew 5:18; 2 Timothy 3:16-17). In faith we hold the Bible to be inerrant in the original writings, God-breathed, and the complete and final authority for faith and practice (2 Timothy 3:16-17). While still using the individual writing styles of the human authors, the Holy Spirit perfectly guided...

MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYA UAMUZI WA KUOA AU KUOLEWA

Jambo la kwanzaKuoa au kuolewa kunabadilisha uhusianowako na wazazi wako. Mwanzo.2:24 anasema, “Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili moja”. Ukiangalia (Zaburi.45:10-11) anasema, “Sikia binti utazame (maana yake anazungumza na msichana) utege sikio lako. Uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako na mfalme atautamani...

Friday, April 28, 2017

Sheria za Ubongo: Kanuni kumi na mbili za kukuongoza katika sehemu yako ya kazi au Shuleni

Na: Amani manamba 1.  Kuna uhusiano mkubwa kati ya mazoezi na utayari wa akili kufanya kazi. Mwandishi anatushirikisha kuwa mwili wa mwanadamu umeumbwa kiasi kwamba unaweza kutembea maili 12 kwa siku. Katika mzunguko huo mwili unaweza kufanya kazi mbalimbali ambazo zinatofautisha dunia ya kizazi kimoja hadi kingine. Kwa ujumla unaweza fupisha maana hii kwa kutumia maneno...

Window cannot formatt disk

The Symptom When trying to format a USB drive or memory SD card for not being able to access it or something, the format process might fail with an error message saying that Windows was unable to complete the format. This error message is too simple to see any information about what went wrong. Since USB flash drive and SD cards are easy to carry for data storage and transmission, it is important to know how to solve this issue. Why cannot Windows...

Monday, April 24, 2017

8 Great Philosophical Questions That We’ll Never Solve

Philosophy goes where hard science can’t, or won’t. Philosophers have a license to speculate about everything from metaphysics to morality, and this means they can shed light on some of the basic questions of existence. The bad news? These are questions that may always lay just beyond the limits of our comprehension.Our presence in the universe is something too bizarre...

Tuesday, April 18, 2017

The Effects Of Negative Emotions On Our Health

Humans experience an array of emotions, anything from happiness, to sadness to extreme joy and depression. Each one of these emotions creates a different feeling within the body. After all, our body releases different chemicals when we experience various things that make us happy and each chemical works to create a different environment within the body. For example if...

Monday, April 17, 2017

Trump Aamuru Ndege za Kivita Zianze Kuruka Kuelekea Korea Kaskazini

Ndege hatari na mpya zilizotengenezewa kwa teknolojia ya hali ya juu za F-35 Stealth Fighter Jets tayari zimeruka kutoka jimbo la Utah lililopo magharibi mwa nchi ya Marekani na kutua UK tayari kabisa kwa training ya mwisho kuelekea uwanja wa vita. Ndege hizi ambazo ni mpya na toleo la mwisho limemalizika kutengenezwa na kujaribiwa March mwaka huu 2017 zinatajwa kuwa ndege...

What is 'Hyperinflation'

What is 'Hyperinflation' Hyperinflation is extremely rapid or out of control inflation. There is no precise numerical indication of hyperinflation. Hyperinflation is a situation where the price increases are so out of control that the concept of inflation is meaningless. Although hyperinflation is considered a rare event, it occurred as many as 55 times in the 20th century...

Saturday, April 15, 2017

Familia ya dinosaria yapatikana Tanzania

Mojawapo ya jamii wa awali wa dinosaria alikuwa na maumbile yanayofananishwa na mamba, matokeo ya utafiti Tanzania yanaonyesha. Wataalam wa masuala ya uhifadhi wa mabaki ya wanyama wamejiuliza familia ya dinosari wa kitambo walifanana vipi, kwani maelezo ya rekodi kutoka enzi hizo ni nadra. Wengine walidhania walitembea kwa miguu miwili, wakifanana kama dinosari wadogo. Lakini...

Korea kaskazini: tupo tayari kwa vita kamili.

Korea Kaskazini imeionya Marekani kutoanzisha vitendo vya uchokozi katika eneo la Korea ikisema kuwa iko tayari kulipiza kisasi kupitia mshambulio ya kinyuklia. Taifa hilo limesema hivyo wakati ambapo kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, amehudhuria gwaride la heshima katika mji mkuu wa Pyong yang, akiadhimisha siku ya kuzaliwa ya babu yake, marehemu Kim II-Sung, ambaye...

Wednesday, April 12, 2017

Tanzania yaanza kujenga reli ya kisasa kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro

Rais wa Tanzania John Magufuli leo hii ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa awamu ya kwanza ya mradi mkubwa wa reli ya kisasa ya Standard Gauge ambayo hapo baadae itaunganisha nchi za Rwanda na Burundi pia. Lakini katika awamu hii ya kwanza, ujenzi utakuwa wa reli yenye urefu wa kilomita takribani 300, ambayo itatoka jijini Dar es Salaam na kuishia mkoa wa jirani wa...

Simu zinaweza kufichua siri kuhusu maisha yako

Chembechembe zinazopatikana kwenye simu za mikononi zinaweza kuashiria kiwango cha afya na maisha ya mmiliki, ikiwemo matibabu na aina ya chakula anachopendelea. Wanasayansi kutoka California waligundua chembechembe za kafeini pamoja, dawa za kupunguza msongo wa mawazo na vipodozi vya ngozi kwenye simu 40 walizozichunguza. Utafiti unaonyesha kuwa hata kunawa mikono...

Je! Wajua ni kwa nini kamba za viatu hufunguka zenyewe?

Sasa wanasayansi wanadhani kuwa, wanajua sababu, ya vifungo hivyo kufunguka. Wamebaini kuwa nguvu ya miguu kukanyaga ardhi, huvuta na kisha hulegeza kifundo cha kamba kilichofungwa, sawa na mkono usioonekana, ukifungua kamba hizo taratibu. Watafiti wanasema kuwa uelewa huu wa namna kamba za viatu hufunguka, uko sambamba na namna DNA inavyofanya kazi. Kwa kutumia camera...

Waafrika wanauzwa Libya katika biashara ya utumwa

Raia wa Afrika wanaojaribu kuvuka na kuelekea barani Ulaya, wanauzwa na watekaji wao na kuuzwa katika "soko la utumwa" nchini Libya. Hayo yamesemwa na shirika la kuwahudumia wahamiaji duniani International Organization for Migration (IOM). Wahasiriwa wameiambia IOM kuwa, baada ya kuzuiliwa na walanguzi wa biashara ya watu au makundi ya wapiganaji, wanapelekwa hadi kwenye viwanja...

Mwanamke ambaka dereva wa teksi Marekan

Mwanamke mmoja katika jimbo la Ohio nchini Marekani ameshtakiwa kwa kum'baka dereva mmoja wa teksi kwa kutumia kisu kabla ya yeye na mwanamume mwengine kumuibia kulingana na maafisa wa polisi. Brittany Carter mwenye umri wa miaka 23, anadaiwa kufanya tendo la ngono na dereva huyo mwenye umri wa miaka 29 huku Corey Jackson mwenye umri wa miaka 20 akimshikia kisu shingoni. Maafisa...

Tuesday, April 11, 2017

Why is Freemasonry Wrong? . . .

Months later my wife was ministering deliverance to a young lady who told my wife she felt like she had curses on her from her father. She said "he was the Grand Something of a Masonic lodge up north and he had molested her as a young girl." She also said, "he spoke things over her, maybe some kind ...