Recent Posts

PropellerAds

Saturday, April 15, 2017

Familia ya dinosaria yapatikana Tanzania

Mojawapo ya jamii wa awali wa dinosaria alikuwa na maumbile yanayofananishwa na mamba, matokeo ya utafiti Tanzania yanaonyesha.
Wataalam wa masuala ya uhifadhi wa mabaki ya wanyama wamejiuliza familia ya dinosari wa kitambo walifanana vipi, kwani maelezo ya rekodi kutoka enzi hizo ni nadra.
Wengine walidhania walitembea kwa miguu miwili, wakifanana kama dinosari wadogo.
Lakini mnyama mpya aliyeelezewa alitembea kwa miguu minne kama mamba, nakala ya Nature iliripoti
Mnyama huyo mla nyama mwenye urefu wa kati ya mita 2-3 aliyevumbuliwa Tanzania kusini, aliishi takriban miaka milioni 245 iliyopita wakati wa kipindi cha kwanza cha maisha yao (Triassic)

Related Posts:

  • Muhammad Ali aombolezwa Maelfu ya watu wamehudhuria swala ya kiislamu ya kumuombea aliyekuwa mwandondi bingwa duniani Muhammad Ali -- ambae alikufa wiki iliyopita. Swala hiyo imefanyika katika ukumbi wa 'Freedom Hall' katika mji aliokulia wa Lo… Read More
  • Kwanini ndoa za sasa hazidumu ? Imezoeleka kwamba ndoa za kikatoliki zikifungwa zimefungwa pamoja na sharti hilo ,viwango vya ndoa zinazovunjika zinaendelea kuongezeka na kufuatia hali hiyo,kanisa katoliki limeamua kuanzisha tuzo maalumu kwa wandoa wako… Read More
  • 10 “Different Numbers” That Really Matter Being loyal to a denomination, I’m no stranger to filling out forms and reporting stats. There are good reasons for this accountability, and we at 12Stone® Church are good team players in the Wesleyan Church. We report al… Read More
  • How Can I Turn All My Worries over to God? Answer: It is sometimes a disconcerting truth for many Christians that even though we belong to God through faith in Christ, we still seem to experience the same problems that plagued us before we were saved. We often bec… Read More
  • Aliyemdhihaki rais Magufuli ahukumiwa Mtu aliyemdhihaki rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amehukumiwa na mahakama ya Tanzania. Kulingana na mtandao wa EATV5, Mtuhumiwa huyo Isack Habakuki alipigwa faini ya shilingi milioni 7 na hakimu mkazi wa Arusha Augus… Read More