Recent Posts

PropellerAds

Monday, April 17, 2017

Trump Aamuru Ndege za Kivita Zianze Kuruka Kuelekea Korea Kaskazini


Ndege hatari na mpya zilizotengenezewa kwa teknolojia ya hali ya juu za F-35 Stealth Fighter Jets tayari zimeruka kutoka jimbo la Utah lililopo magharibi mwa nchi ya Marekani na kutua UK tayari kabisa kwa training ya mwisho kuelekea uwanja wa vita.

Ndege hizi ambazo ni mpya na toleo la mwisho limemalizika kutengenezwa na kujaribiwa March mwaka huu 2017 zinatajwa kuwa ndege hatari zaidi katika Ground Attacks na Air Defence Missions. Zimepelekwa nchini Uingereza kwa training ya mwisho kuingia vitani ikiwa na malengo mawili, moja zitabaki bara la ulaya kulinda uvamizi wa Urusi na pili kupelekwa uwanja wa vita huko Norh Korea.

Wakati huohuo makamu wa rais wa marekani bwana Mike Pence Leo asubuh ametembelea ngome (base) ya marekani huko Korea ya kusini ya Camp Bonifas ambayo iko mpakani kabisa mwa North Korea na South Korea eneo lenye tension kubwa zaidi na hofu.

Pence amewatoa hofu wananchi wa South Korea kuwa USA iko tayari kuwalinda na madhara ya vita inayokwenda kutoka muda sio mrefu kwa hiyo wasihofu kabisa kuhusu usalama wao. Bwana Pence amesema Kim aache kutest makombora Mara moja na badala yake ayaingize uwanja wa vita kabisa kuliko mbwembwe za majaribio yasiyofanikiwa. Mike Pence ameziomba jumuia za kimataifa kuungana na Marekani kuuangamiza kabisa utawala wa Pyongyang chini ya Dikteta Kim. Hotuba hii ya leo ya Makamu wa Rais bwana Pence huko Camp Bonifas, South Korea inaonyesha dhahiri kuwa ni wazi Marekani inakwenda kuivamia kijeshi North Korea muda wowote kuanzia leo

Source: CNN na NBC News

Related Posts:

  • Israel yaishtumu Iran kwa kujaribu kombora lake Israel imeishtumu Iran kwa kukiuka maamuzi ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwa kufanyia majaribio kombora lake la masafa ya kadri Waziri mkuu nchini humo Benjamin Netanyahu amesema kuwa jaribio hilo la kombora l… Read More
  • Trump amteua jaji wa mahakama kuu Neil Gorsuch Rais Donald Trump amemteua Neil Gorsuch kujaza nafasi katika mahakama kuu kwa mwaka mmoja . Bw Gorsuch mwenye umri wa miaka 49 ni jaji katika mahakama ya rufaa mjini Denver. Jaji huyo hatarajiwi kutoa hukumu juu ya utoaji m… Read More
  • Kenya: Majirani zetu walitusaliti AUWaziri wa maswala ya nchi za kigeni Kenya Amina Mohammed Mgombea wa wadhfa wa mwenyekiti kutoka Kenya katika tume ya Umoja wa Afrika AU Amina Mohammed ametaja usaliti mio… Read More
  • AU kujiondoa katika mahakama ya ICC Umoja wa Afrika umeunga mkono mpango wa kujiondoa kwa pamoja katika mahakama ya ICC ambayo mataifa mengi ya Afrika yanahisi inawalenga viongozi wa bara la Afrika pekee. Uamuzi huo uliochukuliwa katika kikao cha faragha ha… Read More
  • Mama atakiwa ''kuthibitisha anatoa maziwa'' uwanja wa ndege Mwanamke mmoja amewasilisha malalamishi yake kwa maafisa wa polisi wa Ujerumani akidai kuwa aliambiwa atoe maziwa katika eneo la usalama la uwanja wa ndege ili kuthibitisha kuwa ananyonysha mtoto. Gayathiri Bose aliambi… Read More