Recent Posts

PropellerAds

Thursday, July 21, 2016

Utafiti: Harufu ya kuku inazuia Malaria

Je unaogopa kuambukizwa na ugonjwa wa malaria ? Ikiwa jibu lako ni ndio basi nakupa ushauri nasaha,, Fuga kuku ! Utafiti umebaini kuwa ,harufu ya kuku inaweza kukulinda dhidi ya maambukizi ya malaria. Watafiti nchini Ethiopia na Sweden wamegundua kuwa mbu wanaobeba vimelea visababishavyo ugonjwa wa Malaria huwa wanafanya kila wawezalo kukaa mbali na ndege huyo anayefugwa majumbani. Moja...

Saturday, July 16, 2016

speak truth

The day we see the truth and cease to speak is the day we begin to die - Martin Luther King J...

great liabilities

One of the great liabilities of history is that all too many people fail to remain awake through great periods of social change. Every society has its protectors of status quo and its fraternities of the indifferent who are notorious for sleeping through revolutions. Today, our very survival depends on our ability to stay awake, to adjust to new ideas, to remain vigilant and...

another way to defeat your enemy

Another way that you love your enemy is this: When the opportunity presents itself for you to defeat your enemy, that is the time which you must not do it. There will come a time, in many instances, when the person who hates you most, the person who has misused you most, the person who has gossiped about you most, the person who has spread false rumors about you most, there will come a time when you will have an opportunity to defeat that person....

Thursday, July 14, 2016

Boris Johnson alivyokejeli Afrika na watu mashuhuri

Waziri mkuu mpya wa Uingereza Theresa May, amemteua Boris Johnson, aliyeongoza kampeni ya taifa hilo kujitoa katika Muungano wa Ulaya kuwa waziri wa mambo ya nje. Johnson, ambaye aliwahi kuwa Meya wa jiji la London amesema Uingereza sasa ina nafasi kubwa kujenga upya uhusiano wake na Ulaya na ulimwengu mzima lakini ni ulimwengu ambao ameuuudhi kwa namna moja au nyengine kutokana na matamshi yake ya kejeli. Haya ni baadhi ya maneno ya kejeli aliyoyatamka...

Ndege ya kisasa ya Ethiopia yatua Kenya

Ethiopia imekuwa taifa la kwanza barani Afrika kununua ndege ya kisasa aina ya Airbus A350 XWB. Ndege hiyo, Airbus A350, ndiyo ya hivi karibuni kuzinduliwa na kampuni ya ndege ya Airbus ya Ufaransa. Ndege hiyo, iliyo na uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 300, ilitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Kenya Jumatano jioni ikitokea mjini Addis Ababa, Ethiopia. "Ndege hii ya kisasa itasaidia katika utoaji wa huduma zetu,...

Tuesday, July 12, 2016

Malala asherehekea siku ya kuzaliwa Kenya

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Malala Yousafzai amezuru kambi ya wakimbizi ya Dadaab kaskazini mashariki mwa Kenya ambapo atasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Malala alizaliwa 12 Julai 1997 eneo la Mingora, Pakistan katika bonde la Swat. Alihudhuria shule iliyoanzishwa na babake Ziauddin Yousafzai na baada ya wanamgambo wa Taliban kuanza kushambulia shule za wasichana Swat,...

Moise Katumbi: Serikali ya DRC ilijaribu kuniua

Kiongozi wa upinzani nchini DRC ambaye pia ni mgombea wa kiti cha urais katika uchaguzi ujao amesema kuwa serikali ya rais Joseph kabila ilimpa sumu katika njama ya kumuua. Mwanasiasa Moise Katumbi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo anasema kuwa alidungwa sindano iliyokuwa na sumu nje ya mahakama ya Lubumbashi mnamo mwezi Mei. Katumbi anasema haikujulikana sindano hiyo ilikuwa...

Saturday, July 9, 2016

"Everybody has a wheelchair"

Bert Burns understands God has a plan for our lives By Duane Cross We are hard pressed on every side, but not crushed; perplexed, but not in despair; persecuted, but not abandoned; struck down, but not destroyed. — 2 Corinthians 4:8-9 ALPHARETTA, Ga. — Listening to Bert Burns, you cannot avoid feeling ... uplifted. It's strange. It's hard to put into words. It's even...

Mamia kupigwa picha za utupu Uingereza

Mamia ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni katika mji wa Hull, Uingereza. Tukio hilo litakuwa la kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni. Washiriki watapakwa rangi ya samawati Jumamosi na kisha wapigwe picha wakiwa katika maeneo mashuhuri jijini humo kama sehemu ya mradi uliopewa jina Sea of Hull. Mradi huo unatekelezwa na mpiga...

Korea Kaskazini yarusha kombora jingine

Maafisa wa kijeshi nchini Korea Kusini wanasema Korea Kaskazini imejaribu kurusha kombora kutoka kwa manowari ya kivita na kukiuka vikwazo vya kimataifa Wanasema kuwa kombora hilo hatahivyo lilifeli muda mfupi baada ya kurushwa Urushaji huo wa kombora unajiri baada ya Korea Kusini na Marekani kukubaliana kuweka mitambo ya kujikinga dhidi ya makombora nchini Korea Kusini. Mitambo...

Sudan Kusini:Idadi ya waliouawa haijulikani

Ripoti kutoka mji mkuu wa Sudan Kusini Juba ,zinasema kuwa mili mingi imepelekwa katika hospitali kuu ya mji huo baada ya ufyatulianaji mkali wa risasi kuibuka karibu na nyumba ya rais siku ya Ijumaa. Idadi ya watu waliouawa hatahivyo haijulikani. Ufyatulianaji huo ulianza wakati ambapo rais Salva Kiir na makamu wake Riek Machar walikuwa wakijadiliana kuhusu ghasia...

Wednesday, July 6, 2016

Mtandao unaowaunganisha wapenzi wa Kiislamu wadukuliwa

Maelezo ya kibinafsi ya takriban wanachama 150,000 wa mtandao unaowaunganisha wapenzi wa Kiislamu umewekwa wazi mtandaoni. Zaidi ya ujumbe 700,000 za kibinafsi kati ya wanachama zimefichuliwa. Ujumbe katika mtandao huo ulisema: ''Tumejulishwa kuhusu udukuzi na tunaurekebisha mtandao wetu kwa lengo la kuimarisha usalama wake''. Ujumbe uliofichuliwa ulihusisha habari za...

Mamba anayebashiri matokeo ya uchaguzi Australia

Gazeti moja nchini Australia limedai kwamba kuna mamaba anayeweza kubashiri matokeo ya uchaguzi nchini Australia. Gazeti hilo la Northern Territory News ni maarufu kwa habari zake katika ukurasa wake wa kwanza. Huku raia wakisubiri uchaguzi wa siku ya Jumamosi ,gazeti hilo liliweka picha za wagombea wawili wakuu wa uchaguzi huo katika ndoana ya samaki na kumrushia mamba...

Magonjwa ya akili yakithiri Sudan Kusini

Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema maelfu ya raia wa Sudan Kusini wanasumbuliwa na kiwewe baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, na walio wengi hawana matarajio ya kupata tiba.Shirika hilo limesema watu walilazimishwa kula nyama ya binaadamu wenzao na wengine walilazimishwa kuipasua miili ya binaadamu wenzao wakati huo...

Messi ahukumiwa ‘kufungwa miezi 21 jela’

Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada ya kupatikana na makosa ya kutumia ulaghai wakati wa ulipaji ushuru, vyombo vya habari nchini Uhispania vinaripoti. Babake, Jorge Messi, pia amehukumiwa kufungwa jela kwa kuilaghai Uhispania €4.1m (£3.2m; $4.6m) kati ya 2007 na 2009. Wakati wa kesi, waendesha mashtaka walisema...

Friday, July 1, 2016

Modem(modulator - den odulator )

A modem ( modulator- dem odulator) is a network hardware device that modulates one or more carrier wave signals to encode digital information for transmission and demodulates signals to decode the transmitted information. The goal is to produce a signal that can be transmitted easily and decoded to reproduce the original digital data. Modems can be used with any means of transmitting...