Recent Posts

PropellerAds

Tuesday, June 6, 2017

Kasisi aliyewalisha watu nyoka Afrika Kusini, afika Nigeria

Bw. Mnguni anaonekana akitafuna nywele za mwanadada huyu katika mojawepo ya mahubiri yake Afrika Kusini mwaka 2015
Kasisi mmoja anayejiita nabii na ambaye alisababisha utata nchini Afrika Kusini, mwaka 2015, baada ya kutuhumiwa kuwafanya watu kula nyoka, panya na nywele ameonekana kwenye ibada nchini Nigeria
Kasi huyo alioneaka katika ibada iliyoongozwa na mhubiri maarufu wa runinga nchini Nigeria TB Joshua mjini Lagos.
Bw. Joshua ameandika katika mtandao wake wa kijamii kumhusu Mchungaji Penuel Mnguni, kuhudhuria ibada yake.
Gazeti la Afrika Kusini, Citizen, limemnukuu Bw. Mnguni akisema kuwa amebadilisha moyo wake, baada ya kujikuta ndani ya utata na habari zake kugonga vichwa vya habari duniani- huku akikamatwa na kuachiwa mara kwa mara:
Maandishi kwenye mtandao wa tweeter
"Nilianza kutizama runinga ya Emmanuel TV, kumsikiliza nabii TB Joshua, na nikafahamu kuwa, nilichokuwa nikifanya haikuambatana na maandiko. Nilifahamu kuwa lilikuwa shambulio. Nikaja hadi kwa TB Joshua ili anikomboe." Amesema Bw. Mnguni.
Mashtaka dhidi ya Bw. Mnguni, yaliyowasilishwa na chama cha kupambana na dhuluma dhidi ya wanyama (Society for the Prevention of Cruelty to Animals), Afrika Kusini, yaliondolewa mnamo Julai mwaka 2015, kwa kukosa ushahidi.

Related Posts:

  • Four Ways God Leads His People I see at least four methods that God uses to leads us in his will. I put them in four "D’s" to help me remember them. 1) Decree: God sovereignly decrees and designs circumstances so that we end up where he wants us to … Read More
  • Being a Shepherd Leader at Home As we begin walking through the four foundational shepherding functions of knowing, leading, providing for, and protecting your family, it is important to recognize that they represent fundamental human needs. For exam… Read More
  • The Sovereign­ty of God There are no limits to God’s rule. This is part of what it means to be God. He is sovereign over the whole world, and everything that happens in it. He is never helpless, never frustrated, never at a loss. And in Christ, G… Read More
  • The Wisdom in What God Doesn’t Say knowing there’s a “holiness without which no one will see the Lord” (Hebrews 12:14). How will we seek to love Christ by obeying his commandment to love each other (John 13:34; 14:15), and help one another pursue a “pure hea… Read More
  • How to Train Your Dragons Killing Pet Sins Before They Kill You “Excuse me, can you repeat what you just said?” I was certain I heard him wrong. “ . . . ” “So you’re saying that if we are struggling consistently with sexual sin, we should wean ourselves off of it by sinning in mo… Read More