Recent Posts

PropellerAds

Thursday, March 2, 2017

Bashir amteua makamu wake kuwa waziri mkuu

Bakri Hassan Saleh ameteuliwa waziri mkuu
Rais wa Sudan, Omar al-Bashir, amemteuwa makamu wake wa rais Bakri Hassan Saleh kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo.
Kuna madai kwamba Bwana Bashir anamuandaa awe mrithi wake.
Bwana Saleh ni mmoja wa mshirika wa karibu zaidi wa Bashir, na alihusika katika mapinduzi ya mwaka 1989 yaliyomleta mamlakani Omar Al Bashir.
Huku wakiwa chini ya shinikizo kali kutoka kwa upinzani na jamii ya kimataifa, Bwana Mr Bashir amebuni cheo cha waziri mkuu, ambacho aliifutilia mbali mara tu baada ya kuingia uongozini kwa njia ya mapinduzi.
Omar al-Bashir

Related Posts:

  • wanawake wanawapenda wanaume wasio waoga   Katika utafiti wa hivi karibuni, watafiti wamegundua kwamba, wanawake wanawapenda wanaume wasio waoga na mashujaa kuliko wale waoga. Ushujaa wa wanaume ni kigezo kikubwa kwa wanawake kuwapenda marafiki wa kiume wa mu… Read More
  • msimdharau mshindani wako Don’t underestimate your rival   Ikiwa mhitimu wa chuo kikuu ataambiwa ajiandae kwa mtihahi wa darasa la kwanza, nadhani maandalizi pekee atakayofanya ni kwenda kwenye huo mtihani ambao unaonekana ni wa chini sana ukil… Read More
  • Wekeza katika maarifa "Until your brain sweat, you won't experience swiftness" Katika kitabu cha Hosea 4:6 imeandikwa “watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa…” Inawezekana umesikia mara nyingi sehemu hii; swali ambalo nataka tujiulize kwa… Read More
  • Nguvu ya kufikiri Chanya   Kila mmoja wetu ana namna yake ya kufikiri na hizi namna tofauti za kufikiri ndizo ambazo zinatutofautisha binadamu. Ni tofauti hizi pia ambazo zinatufanya tuwe na tofauti katika mafanikio maishani mwetu. Wale ambao… Read More
  • Kufikiri vizuri kumenifikisha hapa  Makala hii ni miongoni mwa makala za hayati Munga Tehenan, zilizowahi kutoka katika Gazeti la Jitambue. (Gazeti hilo limesimama kuchapishwa kutokana na sababu za kiufundi)Nimeamua kuirejea makala hii kwa sababu ina… Read More