Recent Posts

PropellerAds

Thursday, March 16, 2017

Kwa Picha: Ndege ya wanawake pekee kutoka Malawi yatua Tanzania

Wahudumu wa ndege ya Malawi
Shirika la ndege la Malawi, Malawi Airlines, limefanikiwa kukamilisha safari ya ndege iliyosimamiwa na wanawake pekee.
Ndege hiyo imetua katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere mjini Dar es Salaam.
Marubani na wasaidizi wa abiria kwenye ndege hiyo wote walikuwa wanawake, na ni mara ya kwanza kwa shirika hilo kuandaa safari kama hiyo.
Ndege hiyo ilianza safari yake mjini Blantyre na itatua kwa muda Lilongwe kabla ya kuelekea Dar es Salaam.
Shirika hilo la ndege, lilisema lengo la kuandaa safari hiyo ni kufanikisha ulimwengu ambao "unakumbatia jinsia zote"MarubaniWahudumu wa ndege ya MalawiNdege hiyo ilikuwa chini ya Kapteni Yolanda Kaunda akisaidiwa na Lusekelo Mwenifumbo.
Bi Mwenifumbo, 24, ambaye alisomea urubani jijini Addis Ababa, Ethiopia ameambia Munira Hussein wa BBC kwamba alihamasishwa kuwa rubani na babake ambaye pia alikuwa rubaniWahudumu wa ndege ya MalawiWahudumu wa ndege ya MalawiWahudumu wa ndege ya MalawiNdege hiyo uwanja wa ndege wa wa kimataifa wa Mwalimu Julius NyerereNdege ya Malawi

Related Posts:

  • NASA Confirms: People Are Capable Of Super Human Abilities Using These Ancient Techniques! Ever wanted to be in more than one place at a time? That’s right, I’m talking about the super-human abilities that can be gained by those who follow the protocol for what’s known as sun-gazing, a valid practice recently … Read More
  • HOW TO LOSE YOUR MIND & CREATE A NEW ONE Breaking the habit of being yourself requires – dare I say it? – discipline. Daily discipline. And once you embark on it, it’s the most wonderful process in the making. It is exciting and fun, and it becomes easier and e… Read More
  • 21 Traits Of An Awakening Soul What does it mean to be awakened? This is a term that we’ve collectively created, and holds a different meaning to each of us. As we travel our paths of life, our consciousness forever evolves, expands and absorbs inform… Read More
  • cancer can be treated Austrian Doctor Developed A DIET That Kills Cancer Cells And Cured Thousands Of Cancer Patients!: TREATMENT RATING: This cancer protocol is rated ONLY as being effective on newly diagnosed cancer patients who do not have … Read More
  • What Unlocking Your 7th Sense Could Mean For You. Because science was not advanced enough to detect and measure 6th and 7th sense energy fields, such phenomena was illegitimized as paranormal, and even ridiculed.  Slowly, as cited by supporting articles found … Read More