Recent Posts

PropellerAds

Monday, March 6, 2017

Mambo 17 kuhusu korea kaskazini

1.Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha.
2.Ndio nchi pekee duniani hadi sasa amabayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani.
3.Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung
4.Kuanzia 2009 nchi hii sio ya kikomunist tena, wana msimamo au IDEOLOGY yaoo mpya unaitwa " JUCHE" wakimaanisha "KUJITEGEMEA"
5.Ndio nchi yenye uwanja mkubwa wa mpira kuliko yote dunia nzima, unabeba watu 150000
6.Miaka ya 50, walijenga mji fake (nice city) mpakani ili kuwavutia watu wahamie kutoka south korea.
7.Kunyoa Nywele, unaoption ya kuchagua kati ya style 28 zilizopitishwa kitaifa nje ya hapo ni kosa kisheria.
8:Kwa miaka 60 iliyopita ni wakorea kaskazini 23,000 waliokimbilia Korea Kusini wakati ni wakorea kusini wawili tu ndio wamerudi korea kaskazini.
 
 9:Wakati dunia nzima inatumia OS za Windows,LINUX au MAC OS etc , wao wanatumia ya kwao inaitwa STAR OS

10:Kumiliki BIBLIA,Kuangalia Movie au tamthilia za Korea kusini na kusambaza picha za ngono adhabu ni kifo ukibainika.

11:Ni wanajeshi na viongozi wa serikali tu ambao wanaruhusiwa kumiliki gari.

12:Ni kinyume cha sheria kuvaa jeans korea kaskazini

13:Wanafanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano ila sanduku la kura ni moja tu na mgombea ni mmoja.

14:Kuna Shirika Linalotumia parachuti kuzipeleka BIBILIA nchini humo wakiomba angalau ziangukie kwa mmoja aelewe neno.

15:Kulingana na vitabu vya nchi hiyo Kiongozi wao Kim Jong Un alijifunza kuendesha gari akiwa na miaka 3.

16: kama umezaliwa tarehe 8 july au tarehe 17 december Huruhusiwi kusherekea Birthday maana ni siku ambazo viongozi wao Kim Jong Il na Kim Il song walikufa.

17: wanamiliki kikosi maalumu cha wanajeshi wanaakili sana/geneus kama jeshi la kimtandao,Special cyber hackers, Unit 121 au Beaureu 121. Na inasemekana wametuma baadhi yao zaidi ya askari hao 1200 nchi mbalimbali kwa mashambulizi au cyber war. Ndio waliohusika katika Shambulizi la Kampuni ya SONY Klingana na vyombo vya magharibi.

Related Posts:

  • BLESSED ARE THE POOR IN SPIRIT INTRODUCTION: "Blessed are the poor in spirit: for theirs is the kingdom of heaven" (Matthew 5:3). This idea, along with so many others in the Bible, seems so foreign to the modern mind. How can poverty in any form be good… Read More
  • Why Israel? "A Jew who does not believe in miracles is not a realist." - David ben Gurion, first Prime Minister of the State of Israel The Holocaust and the Rebirth of Israel A Jew who does not believe in miracles is not a real… Read More
  • What We Can Do in a World Gone Mad What can we do in light of all that is taking place regarding Israel, THE EPICENTER OF THE MIDDLE EAST AND THE WORLD? We can: RECOGNIZE the true nature of the battle in Israel It is, at its root, a spiritual … Read More
  • Where Did It All Start? The Origins of the Arab-Israeli Conflict It’s not about the land The creation of the State of Israel in 1948 didn’t take a significant amount of land from Middle Eastern Arabs. Israel comprises 0.2 percent of the Middle East’s land mass. (That’s two-… Read More
  • Doing Life Together My purpose is that they may be encouraged in heart and united in love, so that they may have the full riches of complete understanding, in order that they may know the mystery of God, namely, Christ, in whom are hidden all… Read More