Recent Posts

PropellerAds

Sunday, January 22, 2017

Waziri Mkuu wa mauritius kumkabidhi madaraka mwanae

Waziri Mkuu wa Mauritius Anerood Jugnauth
anasema anaoandoka madarakani na
kumkabidhi mwanawe Pavind madaraka.
Waziri huyo mkuu mwenye umri wa miaka
82 alichukua wadhifa kwanza mwaka 1982.
Katika tangazo kwa njia ta runinga bwana
Jugnauth anasema anajiuzulu ili kutoka
nafasi kwa kiongozi mwenye umri mdogo
na mwenye nguvu.
Mwanawe kwa sasa ni waziri wa fedha.
Vyama vya upinzani vimekosoa hatua hiyo
lakini hakuna kile vitafanya kuzuia hatua
hiyo.
Jugnauth ni mkuu wa chama kikubwa ziadi
katika muungano unaoongoza.
Mauritius, nchi iliyo habari Hindi ni koloni ya
zamani ya Uingereza. Atakabidhi mwanawe
madaraka Jumatatu asubuhi.