Pametokea vifo vya watu wengi katika ajali
nchini Madagascar baada ya lori lililokuwa
limebeba watu waliotoka kwenye harusi
kupata ajali na kuzama kwenye maji.
Mamlaka nchini humo zinasema kuwa
takriban watu 45 wakiwemo watoto tisa na
wanandoa wa harusi hiyo wamefariki.
Zaidi ya wengine 20 kwenye gari hilo
wamenusurika.
Meya wa eneo hilo amesema kuwa chanzo
halisi cha ajali hiyo bado hakijafahamika.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
5 weeks ago