kufanana na mazingira (camouflage) kwa
baadhi ya viumbe duniani huwasaidia
kujilinda dhidi ya maadui na pia katika
kuwinda chakula chake. Kwa kuweza
kubadilika huku, viumbe hivi huweza kuwa
karibu kabisa na maadui zake au na windo
lake bila kuonekana hivyo kumhakikishia
usalama wake au kumrahishia kupata
chakula.
Kuna viumbe wengi sana duniani wenye
uwezo wa kubadilika rangi kufanana na
mazingira anayokuwapo. Kwa sisi
Watanzania, tumezoea kumuona kinyonga
kwakuwa ndiye aliyepo kwenye mazingira
yetu.
Zifuatazo ni picha 10 za viumbe wenye
uwezo wa kufanya hivi:
1. Chavichavi aina ya Baron (Baron
Caterpillar)
2. Farasi wa Baharini (Seahorse
3. Buibui (Spider)
4. Mdudu Fimbo (Stick Insect)
5. Chura
6.Gecko mwenye mkia unaofanana na
7.Mjusi
aina ya Gecko
8.chui wa kwenye barafu
9.samaki Bapa(stone flouder)
10.Bundi