Klabu ya Swansea imepanda na kujiondoa
katika mkia wa ligi ya Uingereza baada ya
kuicharaza Liverpool 3-2 katika uwanja wa
Anfield.
Gylfi Sugurdsson alifunga akiwa karibu na
goli ikiwa imesalia dakika 16 na kuipatia
timu ya Paul Clement ushindi wake wa
kwanza tangu ajiunge na Swansea.
Roberto Firmino alifunga mara mbili na
kusawazisha baada ya Fernando Liorent
kufunga mabao mawili katika kipindi cha
dakika nne baada ya kipindi cha kupumzika.
Ushindi huo wa Swansea unaiwacha
Liverpool ikiwa nyuma ya Chelsea kwa pointi
saba.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
5 weeks ago