Na: Michael Charles Chali
Mhubiri mmoja huko Afrika kusini amewashangaza wengi baada ya kuwataka watu waliohudhuria mkutano wake wavue nguo kisha wapige punyeto mpaka wafikie mshindo ili wapokee baraka.
Waumini hao walisikika wakitoa miguno ya mahaba wakati wakiendelea na zoezi hilo huku wengine wakilala usingizi mzito baada ya kumaliza.
Mchungaji huyo aliongeza kuwa shahawa za waumini hao zitakapo tapakaa katika sakafu zitasababisha sakafu hiyo kuwa takatifu.
Source; Redpepper