Recent Posts

PropellerAds

Thursday, January 19, 2017

Breaking news: Mkuu wa majeshi wa majeshi ya senegal kuongoza majeshi ya ECOWAS


Mkuu wa Majeshi ya Senegal,Generali Francis Njie muda huu anaongoza vikosi vya majeshi ya ECOWAS kutoka Nigeria 860,Senegal 500 na Makomandoo maalumu 60 kwaajili ya kuingia Gambia na kumkamata Rais Jammeh akiwa ama hai au amekufa.