Recent Posts

PropellerAds

Wednesday, February 1, 2017

AU kujiondoa katika mahakama ya ICC

Jengo la mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC
Umoja wa Afrika umeunga mkono mpango wa kujiondoa kwa pamoja katika mahakama ya ICC ambayo mataifa mengi ya Afrika yanahisi inawalenga viongozi wa bara la Afrika pekee.
Uamuzi huo uliochukuliwa katika kikao cha faragha haujahalalisha hatua hiyo.
Viongozi wa Afrika wanasema kuwa mahakama hiyo ilikosea kumlenga rais wa Sudan Omar El Bashir kwa mauaji ya Darfur na Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kuchochea ghasia za baada ya uchaguzi.
 Viongozi wa mataifa ya Umoja wa Afrika katika kikao chao katika makao makuu ya Umoja wa Afrika AUMpango huo unapendekeza kwamba mataifa ya Afrika yanafaa kuimarisha mahakama zake na kupanua uwezo wa mahakama ya Afrika kuhusu haki na haki za binaadamu.

Related Posts:

  • Never Once “Have I not commanded you? Be strong and courageous. Do not be frightened, and do not be dismayed, for the LORD your God is with you wherever you go.” (Joshua 1:9) Joshua had massive shoes to fill. The man — Moses — who h… Read More
  • Where Is God’s Love in Loss? “God loves you!” You’ve heard it before, especially if you were exposed to the kind of Christian teaching I received throughout my childhood. These three words formed the overall message I learned about God as a child. It … Read More
  • When Jesus Says ‘I Love You’ Often, those who have injured us the most have been love’s greatest spokesmen. The unfaithful husband sang, “My bride, my jewel, I love you!” — only to kiss her cheek and depart to his mistress’s bed. A seemingly faithful… Read More
  • Remember, He Loves You Beloved, building yourselves up in your most holy faith and praying in the Holy Spirit, keep yourselves in the love of God, waiting for the mercy of our Lord Jesus Christ that leads to eternal life. (Jude 20–21) How … Read More
  • Love Yourself Less What Is Love? We know Foreigner’s producers understood this, at least intuitively, as a religious question, because the song builds into a gospel choir anthem by its end. We all share their intuition. We know that e… Read More