Recent Posts

PropellerAds

Monday, February 13, 2017

Magari ya kuruka ya Uber kama yaliovyoelezewa katika mpango wake.
Muhandisi wa zamani wa shirika la maswala ya angani Nasa ameajiriwa na kampuni ya teksi Uber kusaidia katika utafiti wake wa kutengeza magari yanayoruka.
Mark Moore anajiunga na Uber kama mkurugenzi wa uhandisi wa angani.
Lengo la Uber katika kutengeza magari yanayoruka liliangaziwa mwezi Oktoba ambapo maswala ya kupaa na kutua yalijadiliwa.
Uber tayari inawekeza katika magari ya kujiendesha ikishirikiana na kampuni ya Volvo na Daimler.
Katika mipango yake Uber imesema kuwa katika mahitaji ya angani ,kampuni hiyo ina uwezo wa kuimarisha uchukuzi wa mijini na kuwapatia wateja wake muda wanaopoteza kila siku wanaposafiri.
 Kampuni ya kutengeza magari ya ya Aeromobil kutoka nchini Slovakia ni miongoni mwa kampuni ambazo zina mpango wa kutengeza gari la kurukHuku majumba marefu yakisaidia katika utumizi mchache wa ardhi, uchukuzi wa mijini utatumia maneeo matatu ya angani kukabiliana na msongamano wa magari ardhini''.
Mpango huo utashirikisha mtandao wa ndege za kielektroniki ambazo zitapaa na kushuka wima.
Moore alifichua mpango kama huo katika jarida lililochapishwa wakati alipokuwa Nasa.
Alisema kuwa mpango wa kutengeza vitu vinavyopaa kielektroniki ni mpango muhimu wa kiteknolojia wa ndege na kuongezea kwamba kitu kinachozuia kuanza kwa mpango huo ni betri zitakazotumika.
Kampuni ya kutengeza magari ya ya Aeromobil kutoka nchini Slovakia ni miongoni mwa kampuni ambazo zina mpango wa kutengeza gari la kuruka ambayo inatarajiwa kuingia katika soko mwaka huu.

Related Posts:

  • Finding God at the End of Ourselves Mountain climbers could save time and energy if they reached the summit in a helicopter, but their ultimate purpose is conquest, not efficiency. Sure, they want to reach a goal, but they desire to do it by testing and deepen… Read More
  • How Are Women Saved Through Childbearing? What did Paul mean when he said in 1 Timothy 2:15, “Yet she [the woman] will be saved through childbearing — if they continue in faith and love and holiness, with self-control”? Henry Alford’s interpretation of this … Read More
  • What Are You Waiting For? God’s children are always waiting on him for something. We wait for God to fulfill particular promises (Hebrews 6:15), deliver us from our enemies (Psalm 27:11, 14), provide our material needs (Philippians 4:19), res… Read More
  • Weakness Is an Invitation from God I clearly remember the day my husband lost his job. The sudden reality of being a family of six with Lyme Disease and no income left me feeling emotionally and spiritually paralyzed. Eventually, as the shock wore off, an o… Read More
  • My Marriage Will End When Life Begins My wife and I recently celebrated our thirtieth wedding anniversary. We took the day off and spent it together taking long walks, sharing long talks and leisurely meals. But do you know where we spent our most memorable an… Read More