Recent Posts

PropellerAds

Monday, January 30, 2017

Israel yaishtumu Iran kwa kujaribu kombora lake

Israel imeishtumu Iran kwa kukiuka maamuzi ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwa kufanyia majaribio kombora lake la masafa ya kadri Waziri mkuu nchini humo Benjamin Netanyahu amesema kuwa jaribio hilo la kombora la masafa ya kadri ni ukiukaji wa sheria za Umoja wa Mataifa. Amesema kuwa atapigania Iran kuwekewa vikwazo vipya vya kimataifa wakati wa ziara yake...

Mpango wa Marekani kupeleka watu Mars

Sayari ya Mars imekuwa ikiwashangaza, kuwasisimua na kuwavutia binadamu kwa miaka mingi. Maelfu ya miaka iliyopita, binadamu walikuwa wakishangaa na kujiuliza nini kinapatikana katika sayari hiyo inayopatikana umbali wa kilomita milioni 54.6 kutoka kwa dunia (maili milioni 34). Sana, kutokana na muonekano wake wa rangi nyekundu sawa na ya chuma iliyoshika kutu, binadamu...

Morocco yarudi katika Umoja wa Afrika AU

Viongozi wa umoja wa Afrika wameamua kuirudisha Morocco katika shirika la Umoja wa Afrika AU zaidi ya miongo mitatu baada ya taifa hilo la ufalme wa Afrika Kaskazini kujiondoa katika AU kufuatia mgogoro wa eneo la Sahara magharibi. Shirika hilo linatambui Sahara ya Magharibi kuwa jimbo huru, lakini Morrocco inasema kuwa eneo hilo ni mkoa wake wa kusini. Morocco yataka...

Mualiko wa Trump wamueka malkia katika hali ngumu

Uamuzi wa waziri mkuu wa Uingereza Bi Theressa May wa kumualika rais Donald Trump wa Marekani umemuweka malkia katika hali ngumu, kulingana kiongozi wa zamani wa afisi ya maswala ya kigeni nchini humo. Katika barua alioandika kwa gazeti la The Times, Lord Rickets amesema kuwa ombi hilo lilifanywa mapema mno. Ombi la kutaka ziara hiyo ya Donald Trump nchini Uingereza...

Tofauti kati ya ukuta wa Trump na kuta zingine maarufu zilizojengwa

Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kuendelea na mipango yake ya kujenga ukuta wa urefu wa kilomita 3000 kwenye mpaka kati ya Marekani na Mexico. Ukuta huo utakuwa na urefu wa kati ya mita 9 na 16 na utajengwa kwa kutumia changarawe. Warepublican na wafuasi wao wanasema kuwa ukuta huo utawazui raia wa Mexico wanaoingia Marekani kinyume na sheria. Tayari kuna ua kwenye...

Donald Trump amfuta kazi mwanasheria mkuu

Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi kaimu mwanasheria mkuu Sally Yates saa chache tu baada ya kuwaagiza mawakili wa idara ya haki nchini humo kutotetea uamuzi wa kuwawekea vikwazo raia wanaotoka katika baadhi ya mataifa ya kiislamu. Taarifa ya Ikulu ya Whitehouse imemshtumu kwa usaliti. Sally Yates ambaye aliteuliwa na Obama alisema kuwa hafikirii kwamba marufuku...

Sunday, January 29, 2017

Makamando wa Marekani wavamia ngome ya al-Qaeda Yemen

Ripoti kutoka Yemen, zinaeleza kuwa shambulio, lililofanywa na makamando wa Marekani, limeuwa watu kama 30, wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Qaeda na raia. Hata hivyo jeshi la Marekani linasema kuwa kamando wake mmoja, aliuwawa, na wengine watatu walijeruhiwa, katika shambulio dhidi ya makao makuu ya al-Qaeda nchini Yemen. Marekani kumsaka mtoto wa Osama Ndege ya jeshi la...

Watu 45 wafariki kwenye ajali Madagascar

Pametokea vifo vya watu wengi katika ajali nchini Madagascar baada ya lori lililokuwa limebeba watu waliotoka kwenye harusi kupata ajali na kuzama kwenye maji. Mamlaka nchini humo zinasema kuwa takriban watu 45 wakiwemo watoto tisa na wanandoa wa harusi hiyo wamefariki. Zaidi ya wengine 20 kwenye gari hilo wamenusurika. Meya wa eneo hilo amesema kuwa chanzo halisi cha ajali...

Wachimbaji mgodi 15 waliokwama ardhini waokolewa Tanzania

Wachimbaji madini 15 wameokolewa wakiwa hai baada ya mgodi wao kupolomoka siku tatu zilizopita Ajili hiyo iliyokea usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita, tarehe 26 Januari, katika mgodi uitwao RZ Gold Mine, unaomilikiwa na raia wa China katika machimbo ya dhahabu yaliyopo Geita Kaskazini Magharibi mwa Tanzania Wachimba mgodi 14 wakwama ndani ya ardhi Tanzania Je,kuwa karibu...

PICHA: NDOA YA BEI RAHISI KUFANYIKA DUNIAN

Vijana wawili wapenzi ambao stori yao kuhusu ndoa ya bei rahisi waliyofunga ilizua hisia za watu wengi kwenye mitandao ya kijamii, sasa wameahidiwa kulipiwa gharama zote za mapumziko baanda ya ndoa (honeymoon). Wilson Mutara (26) na Ann Wambui (24) kutoka nchini Kenya inaripotiwa kuwa walifunga ndoa kwa gharama ya Ksh 100 ambayo ni sawa na TZS 2,147 ambapo gharama hizo zilikuwa...

Friday, January 27, 2017

Challenges facing the women ministry

In 1988 the World Council of Churches launched the Ecumenical Decade of the Churches in Solidarity with Women as a ten-year programme offered to the churches. It was to provide a time for the churches to look at their structures, their teachings and practices with a commitment to the full participation of women. It was an opportunity for the churches to reflect on the lives of women in society and to stand in courageous solidarity with...

Challenges Facing South African Baptist Youth Ministry

Challenges Facing South African Baptist Youth Ministry in the 21st Century A Crash Course in Post Modernism It’s all around us. But most of us can’t concisely describe it. It’s the philosophy of the age which follows modernism. Modernism is basically the world view which drew the line between science and religion, faith and superstition, truth and veracity. It demanded technical, scientific answers to questions of faith and science. Non-ending proofs...

Ten Great Challenges Facing the Church

While many are thinking about what resolutions they wish to make for the New Year, Christians find themselves facing many difficult challenges as they face the upcoming year. Many challenges exist for the Christian church. However, one will find that the following challenges rank among the most important as the church enters its 1,984 year of existence. The following is a top-10 list of challenges that this writer sees as the most pressing issues...