Recent Posts

PropellerAds

Wednesday, April 27, 2016

Dadake Prince ataka kurithishwa mali


Nyota wa muziki wa Pop Prince hakuwacha wasia ,dadaake amefichua katika stakhabadhi za mahakama.
Nakala zilizowasilishwa katika mahakama ya jimbo la Minnesota zinaonyesha,Tyka Nelson ametoa ombi la mtu atakayesimamia mali ya nyota huyo.
Prince mwenye umri wa miaka 57 alipatikana amefariki katika lifti katika studio yake ndani ya makaazi ya Minneapolis,huko Minnesota Alhamisi iliopita.
Ukubwa wa mali yake haujulikani lakini unadaiwa kuwa dola milioni 27.
 
Nelson ni dadaake Prince aliyesalia na amesema katika nakala hizo kwamba hatua za haraka zinafaa kuchukuliwa ili kusimamia biashara za nduguye.
Nyimbo za Prince zimetewala chati za Uingereza wiki hii,huku mashabiki wanaomuomboleza wakinunua muziki wake huku ripota wa Hollywood akisema kuwa zaidi ya nyimbo milioni tatu za muziki wake pamoja na albamu zimenunuliwa nchini Marekani tangu kifo chake.

Related Posts:

  • MAGAZETI YA LEO MEI 2 Read More
  • Ajipiga risasi akitafuta 'Selfie ya mwaka'Polisi India wamesema kuwa kijana mmoja amejipiga risasi kichwani kimakosa,akitafuta mbinu ya kujipiga picha ya ''selfie'' ya kipekee akiwa na bastola ya babake. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 15 anaendelea kupokea matibabu… Read More
  • 10 Reasons You Need to Road Trip with Your Family! So here are 10 Great Reasons to Road Trip with your family!  1) It’s time to disconnect! Leave the office behind. Power down your computer and that smart phone. Give this time to your spouse and kids, and allow old-f… Read More
  • Ukame: Burkina Faso kutoa maji kwa mgao Burkina Fao itaanza ugavi wa maji katika mji mkuu Ouagadougou, kutokana na ukosefu mkubwa wa maji. Waziri mmoja alisema kuwa serikali imeamua kufunga maji kwenda wilaya tofauti za mji baada ya kila saa 12. Wiki chache ziliz… Read More
  • Reaching Your Destiny Reaching your destiny requires taking each of the following steps in the corresponding order: 1. Thoughts – Everything that you see in the world--except for what grows naturally--begins as a thought. Our light fixtur… Read More