Recent Posts

PropellerAds

Thursday, April 28, 2016

Mvua kubwa: Mafuriko Tanzania na Kenya

Leo imekuwa siku ngumu sana kwa uchukuzi mjini Dar es Salaam, Tanzania.
Kisa na maana,,,,mafuriko.
Baadhi ya barabara kuu za kitovu hicho cha kibiashara cha Tanzania, zilikuwa hazipitiki.Mvua kubwa inayoendelea kunyesha hivi sasa kanda yote ya Afrika Mashariki imesababisha mafuriko makubwa ambayo muundo msingi wa barabara za miji ya Nairobi na Dar es Salaam haziwezi kumudu.
Magari ambayo yalijaribu kutumia mabarabara ya Dar es Salaam yalikwama mengine huku yale yenye kimo cha juu yakifaulu kupita.Wenyeji sasa wameanza kuhoji uwezo wa muundo msingi wa maji taka wa mji huo wa Dar es Salaam hususan ukizingatia kuwa ndio sasa msimu wa mvua umeanza.
Mtangazaji wetu wa Dar es Salaam Sammy Awami amefaulu kuondoka nyumbani kwake na katika pita pita zake ametutumia picha hizi zinazoonesha hali halisia ya baadhi ya mabarabara ya Dar es Salaam.
Nchini Kenya hali sio tofauti.
Barabara ya kisasa ya Thika Super Highway haipitiki baada ya mvuo kubwa kunyesha mchana na kusababisha mafuriko makubwa.

Related Posts:

  • 4 Causes of Discouragement, and 4 Cures Discouragement is unique to human beings, and it’s universal. Eventually everyone feels it, including those in ministry. I have no doubt you’ve experienced discouragement at times. You might even be discouraged as you rea… Read More
  • Hope for the Unhappy Christian On the outside, Chloe appears to have it all together. She is single, has a career, and is fairly active in her local church. But she’s lonely, disenchanted by her career, and feels detached from her church. The shell that… Read More
  • A Bruised Reed He Will Not Break It was one of the goriest things I’ve seen on television. There was blood everywhere and visible agony. It wasn’t Game of Thrones, but a BBC natural history program, and the protagonist was a crocodile. Its victim was… Read More
  • A Call to Arms As another Mother’s Day rolls around, we find ourselves floating in a sea of sentimental, loving, and sweet words on the things that mothers do for us. It is good to recognize, appreciate, and honor all of that, but it is … Read More
  • Why Christians Must Be Contentious Christians are, in many respects, both-and people. We live much of life in this age in a God-designed tension. We must learn how to both encourage one another (1 Thessalonians 5:11) and rebuke… Read More