Mpiga mbizi mmoja anaamini amegundua kile ambacho huenda ni mji
mkongwe kutoka pwani ya Tanzania ambao ulimezwa na bahari, kwa mujibu wa
taarifa kutoka gazeti la nchini humo Dar Post.
Katika blogu
yake Alan Sutton amesema alikuwa kwenye helikopta akielekea kisiwa cha
Maffia wakati 'aliona muundo fulani ndani maji'.
Alirudi katika sehemu hiyo na kugundua masalio yenye umbali wa kilomita 3.5
Amekadiria kwamba huenda masalio hayo yana miaka takriban 550.
Hii
ni kutokana na kuta za matumbawe - ambazo zina upana wa mita 2.5 na
anasema kwa kawaida matumbawe hukuwa kwa milimita 4.5 kwa mwaka.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 9, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 9,
2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma za Mag...
32 minutes ago