Mwanajeshi wa Ufaransa ameu\wa wakatai wa
oparesheni ya kijeshi kaskazini wa Mali.
Mwanajeshi huyo aliuawa na bomu la kutegwa ardhini
alipokwa akisafiri akitumia gari la kijeshi kwa mujibu wa
taarifa kutoka ikulu ya rais.
Wizara ya ulinzi ilisema kuwa msafara huo wa magari ,
ulikuwa ukielekea eneo la kaskazini kutoka mji wa Gao
kwenda Tessalit wakati bomu hilo lililipuka.
Wanajeshi wengine watatu waliokuwa ndani ya gari hilo
nao walijeruhiwa.
Takriban wanajeshi 3500 wa ufaransa wako kwenye nchi
tano za eneo la Sahel. katika oparesheni inayoongozwa
na ufaransa dhidi ya makundi ya wanamgambo iliyoanza
mwaka 2014.
Man City wanaweza kuwa nje ya mbio za ubingwa kama itachapwa huko Anfield
wiki ijayo :Guardiola
-
Pep Guardiola amependekeza kwamba ikiwa Liverpool wataifunga Manchester
City kwenye Uwanja wa Anfield wikendi ijayo timu yake inaweza kuwa tayari
imetoka...
43 minutes ago