Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Amber Rayne
amefariki nyumbani kwake mjini Los Angeles ,maafisa
wamethibitisha.
Marafiki na waliokuwa wafanyikazi wenzake walituma
ujumbe katika mtandao wa Twitter wakimuenzi
mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 31 ambaye
alifariki usingizi wikendi iliopita.
Amber alikuwa nyota wa filamu za ngono kwa muongo
mmoja kabla ya kujiuzulu mwaka 2015.
Alikuwa miongoni ,mwa kundi moja la wanawake ambao
walidai kwamba James Deen,ambaye pia ni nyota wa
filamu za ngono alimshambulia.
Hatahivyo Deen amekana madai hayo.
Mkaguzi wa matibabu katika kaunti ya Los Angeles
ameiambia Newsbeat kwamba hakuna sababu rasmi ya
kifo chake iliothibitishwa.
Hatahivyo wamesema kuwa familia yake imearifiwa.Bi
Rayne ,ambaye jina lake rasmi ni Meghan
Wren,alitangaza kujiuzlu kutoka kazi hiyo mwaka
uliopita.
Wafanyikazi wenza katika soko la filamu za ngono
walituma ujumbe wa kushtushwa na kifo chake.
Hansi Flick ametangazwa kuwa Meneja Bora wa La Liga mwezi Februari
-
Hansi Flick amechaguliwa kuwa Kocha Bora katika LALIGA EA SPORTS kwa mwezi
wa Februari, tuzo iliyotolewa na LALIGA pamoja na Microsoft ikiwa ni zawadi
ma...
8 hours ago