Iran yaitaka Marekani kuachilia maliIran imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuihimiza Marekani, kuachilia mali yake yaliyoshikiliwa katika benki za Marekani, sambamba na makubaliano ya mwaka uliopita ya vikiwazo wa kinyuklia.
Iran imeghadhabishwa na uamuzi wa ma…Read More
Ndege ya abiria 14 yaanguka Norway
Ndege moja imeanguka karibu na mji wa Norway wa Bergen huku ikiwa na abiria 14 na kuna ripoti ya watu kuonekana katika bahari.
Maafisa wa uokoaji wameviambia vyombo vya habari kwamba ndege hiyo imeharibika vibaya.
Picha ku…Read More
Mmarekani ahukumiwa kufungwa na kazi ngumu Korea
Raia wa Marekani amefungwa jela
miaka 10 na kazi ngumu nchini Korea Kaskazini baada ya kupatikana na
makosa ya kufanya ujasusi, shirika la habari la Uchina la Xinhua
limeripoti.
Kim Dong-chul, raia wa Marekani aliyezaliwa…Read More
Serikali mpya ya umoja yaundwa Sudan Kusini
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir
amelivunja bunge lake na kuunda serikali ya umoja, katika harakati za
kupiga jeki makubaliano ya amani yanayolenga kumaliza vita vya wenyewe
kwa wenyewe vya takriban miaka miwili.
Mpango h…Read More
Biden afanya ziara ya ghafla IraqMakamu wa rais wa Marekani, Joe Biden, ameiunga mkono serikali ya Iraq iliyoko taabani, baada ya ziara yake ya ghafla, na ya kwanza nchini humo kwa kipindi cha miaka mitano.
Ikulu ya White House inasema ziara hiyo ilikuwa is…Read More
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Do Everything Without Grumbling
-
[image: Image result for Do Everything Without Grumbling]“Do all things
without grumbling” (Philippians 2:14). It’s remarkably easy to breeze by
this comm...