Recent Posts

PropellerAds

Sunday, April 17, 2016

Kunguni sasa ni sugu kwa dawa

Huenda kunguni wakawa sugu kwa dawa, hali ambayo itasababisha wadudu hao kuwa na uwezo kuhimili makali ya dawa ya kuua wadudu.
Idadi ya watu inayozidi kuongezeka na safari za kimataifa zimesadia mdudu huyo kuwa kero kwenye mahoteli kote duniani.
Dawa za kuua wadudu ndizo hutumiwa kwa wingi kuua kunguni lakini kwa haraka waduduhao wamekuwa sugu kwa dawa.
Kumuua kunguni sugu inaweza kuhitaji dawa yenye makali mara elfu moja zaidi ya ile inayohitajika kuua wadudu wasio sugu.

Wadudu hao wamesambaa kwenda manyumbani na ofisini na hii imekuwa vigumu kuwaangamiza mara wanapoingia.
Wanaweza kuishi hadi mwaka mmoja bila kula, na yai moja la kunguni linaweza kuzaa kunguni wengi mno.
Kama wadudu wengine kunguni wamefunikwa na ngozi inayojuliana kama cuticle.
David Lilly kutoka chuo cha Sydeny na wanzake walilinganisha unene wa ngozi kutoka kwa kunguni walio sugu kwa dawa na ngozi ya wale wadudu wanaokufa kwa haraka kutokana na dawa.
Matokeo yalionyesha kuwa ikiwa ngozi ni nene kunguni anaweza kuwa sugu kwa dawa.

Related Posts:

  • APPLE TO ANNOUNCE NEW PRODUCTS ON MARCH 21Apple will hold an event on March 21 to showcase new products. Invites were sent out to media for the company's March event with the tagline "Let Us Loop You In." Many rumors have pointed to the company's plans to introduce a… Read More
  • Lula da Silva sasa kuwa waziri BrazilAliyekuwa Rais wa nchi hiyo Luis Inacio Lula da Silva, amekubali cheo cha uwaziri ndani ya serikali ya Dilma Rousseff. Wanachama wa chama cha wafanyikazi wamesema kuwa uteuzi huo utaupa nguvu utawala wake unaolegea.Akiwa wazi… Read More
  • Madhara ya pombe kwa mwanamichezo Mwanamichezo ambaye anashiriki michezo yupo katika hatari ya kushusha kiwango chake, endapo atakuwa anaendekeza kunywa pombe kupitiliza. Mtakumbuka klabu ya Arsenal iliwahi kumtema mchezaji wake, Nicolaus Betender kutokana n… Read More
  • Ujenzi wa bomba la mafuta Tanga kuanza karibuniKampuni inayotarajiwa kufanikisha ujenzi wa bomba la mafuta kutoka bandari ya Tanga hadi nchini Uganda imesema iko tayari kuanza ujenzi huo. Makamu wa Rais wa kampuni ya Total Afrika Mashariki Bw Javier Rielo amemwambia Rais … Read More
  • Putin aagiza jeshi lake kuondoka SyriaRais wa Urusi Vladimir Putin ametoa amri kwa wanajeshi walioko Syria kurejea nyumbani mara moja kwa sababu tayari wametekeleza asilimia kubwa ya malengo yao. Akizungumza katika ikulu ya Kremlin Putin, alisema ''Tayari tumesha… Read More