Katumbi atangaza atawania urais DR Congo
Mwanasiasa maarufu nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo Moise Katumbi
amethibitisha kuwa atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa
kufanyika mwezi Novemba. Mfanyibiashara huyo na gavana wa zamani wa
jimbo la Katan…Read More
Snura aomba radhi kwa wimbo uliofungiwa Tanzania
Msanii Snura Mushi ambaye wimbo wake
wa Chura ulipigwa marufuku na serikali ya Tanzania ameomba radhi na
kuahidi kutekeleza maagizo ya serikali.
Wimbo huo ulipigwa
marufuku na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambay…Read More
Uganda yapiga marufuku matangazo ya moja kwa moja
Serikali ya Uganda imepiga marufuku matangazo ya moja kwa moja yanayopinga uchaguzi wa rais Yoweri Museveni.
Usalama katika mji mkuu umeimarishwa kabla ya maandamano yalioitishwa na chama cha Forum for Democratic Change .
W…Read More
Muziki wa Snura wapigwa marufuku
Serikali ya Tanzania imepiga
marufuku wimbo na kanda ya video ya muziki kwa jina chura wa msanii
Snura Mushi kuchezwa katika vyombo mbalimbali vya habari hadi pale
msanii huyo atakapoufanyia marekebisho wimbo huo.
Vilevi…Read More
Mwanamke apatikana hai kwenye vifusi Nairobi
Mwanamke amepatikana akiwa hai kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.
Juhudi za uokoaji bado zinaendelea ingawa kuna wasiwasi kwamba muda wa kupata manusura wakiwa hai unayoyoma.
…Read More
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Do Everything Without Grumbling
-
[image: Image result for Do Everything Without Grumbling]“Do all things
without grumbling” (Philippians 2:14). It’s remarkably easy to breeze by
this comm...