Recent Posts

PropellerAds

Tuesday, April 19, 2016

Msumbiji mashakani kwa kuficha madeni yake


Shirika la fedha duniani IMF, limesitisha ufadhili wake kwa serikali ya Mozambique, baada ya kugundua kuwa serikali ya nchi hiyo ilikosa kutangaza kuwa ilikuwa na madeni ya zaidi ya dola bilioni moja.
Afisa mmoja wa shirika hilo la IMF amesema wafadhili wengine huenda nao wakasitisha ufadhili wao kwa Mozambique.
Hatua hiyo sasa itashinikiza serikali ya Mozambique ambayo hutegemea misaada ya kigeni kufadhili robo moja ya bajeti yake.
Taifa hilo linakumbwa na matatizo ya kiuchumi, yaliosababishwa na kupungua kwa hazina yake ya fedha za kigeni na kushuka kwa dhamana ya sarafu ya nchi hiyo.

Related Posts:

  • Ang'atwa uume na nyoka Thailand Raia mmoja wa Thailand anaendelea kuuuguza jeraha katika hospitali moja baada ya nyoka aina ya chatu kutokea ndani ya choo na kumng'ata uume wake. Attaporn Boonmakchuay,ambaye alipoteza damu nyingi amesema kuwa nyoka hiy… Read More
  • Scenarios to Help Determine if It’s Time to Quit  How do you know when it’s time to leave an organization? In a previous post I wrote, “Leave Before You Have to.” Sometimes it’s more damaging to stay than to quit. I am asked frequently to help someone think through th… Read More
  • the stress hormone,     Cortisol & Adrenal Function Cortisol is a life sustaining adrenal hormone essential to the maintenance of homeostasis. Called “the stress hormone,” cortisol influences, regulates or… Read More
  • Diet For Adrenal FatigueEven in the best of times, you need food to survive and be healthy. Adrenal fatigue is definitely not the best of times, so the food choices you make become even more important to your health. When your adrenals respond to… Read More
  • Guide To De-stressing During these stressful times it is vitally important that you look after your health. Stress intensifies the demands on your body – nutrients are used up faster than they can be replaced by food, toxic by-products rapidly… Read More