Watanzania 8 waliotaka kujiunga na al-Shabab
wakamatwaSerikali ya Kenya imefichua kwamba imewakamata
raia wanane wa Tanzania waliokuwa katika harakati za
kujiunga na kundi la wapiganaji la al-Shabab nchini
Somalia.
Katika taarifa iliotumwa katika vyombo vya habari,
polisi wanase…Read More
Mugabe asema kuwa haondoki madarakaniRais wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema kuwa
yeye sio Mmarekani wala Muingereza wakati
akiwahutubia karibu watu 50,000, wafuasi wake
kwenye mkutano uliofanyika kwenye mji mkuu Harare
kwa heshima yake.
Mugabe mwenye umri wa mia…Read More
Hukumu kesi ya shambulio la Al-Shabab UgandaMahakama mjini Kampala leo inatarajiwa kutoa
hukumu katika kesi ambapo wanaume 13
wameshtakiwa kuhusiana na mashambulio ya mabomu
yaliyotekelezwa na al-Shabaab mwaka 2010.
Watu zaidi ya 70 walifariki kwenye mashambulio hayo
y…Read More
Rais Obama atembelea mji wa HiroshimaRais Barrack Obama amekuwa rais wa kwanza aliye
mamlakani nchini Marekani kutembelea mji wa
Hiroshima tangu shambulio la nuklia wakati wa vita
vya pili vya dunia.
Obama amesema kuwa kumbukumbu za tarehe 6
mwezi Agosti 1945 ha…Read More
Nyanya zawadili NigeriaNchi ya Nigeria imekumbwa na uhaba mkubwa wa
nyanya. Asilimia themanini ya mashamba ya nyanya
katika maeneo ya kaskazini inasemekana
yameharibiwa na watoto wanaokula kila kitu.Matokeo
yake, bei ya bidhaa hiyo imepanda maraduf…Read More
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Do Everything Without Grumbling
-
[image: Image result for Do Everything Without Grumbling]“Do all things
without grumbling” (Philippians 2:14). It’s remarkably easy to breeze by
this comm...