Recent Posts

PropellerAds

Thursday, April 21, 2016

Rais Barack Obama aisihi Uingereza

 
Rais Barack Obama amesema anaunga mkono Uingereza kubaki katika jumuiya ya umoja wa Ulaya ili kuweza kuchangia katika vita dhidi ya ugaidi na masuala wahamiaji na utatuzi wa migogoro ya kiuchumi.RaisAmeyasema hayo mwanzoni mwa ziara yake nchini humo.
Rais Obama amekaririwa na gazeti la Uingereza Telegraph,akisema kwamba uanachama wa Uingereza katika umoja wa Ulaya una umuhimu mkubwa na endapo nchi hiyo itajiondoa katika umoja huo itapunguza nguvu katika vita dhidi ya ugaidi duniani,suala la wahamiaji na utatuzi wa matatizo ya kiuchumi.
Hata hivyo Obama amesema anatete hoja ya umoja wa Ulaya kuendelea kama ulivyo badala ya Uingereza kujitioa,japo kuwa anakabiliwa na upinzani kutoka kwa viongozi wa juu wa Uingereza wanapiga kampeni kujitoa katika umoja huo.
Naye meya wa mji wa London Boris Johnson amesema Marekani isingeweza kuuza sehemu ya demokrasia yake kama ambavyo Uingereza imefanya kwa umoja wa Ulaya.
Hii leo Rais Obama anatarajiwa kukutana na waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana na malkia Elizabeth wa Uingereza hii ikiwa ni siku moja baada ya maadhimisho ya miaka 90 ya kuzaliwa kwake.

Related Posts:

  • Personality Development What is personality development? Though everyone is born unique, we all possess certain traits that set us apart from the rest. These traits define who we are and how we respond to situations. Often, we end up clingin… Read More
  • Here are the 12 laws of Karma everyone should know! 1. The Great Law “As you sow, so shall you reap.” Also known as the “Law of Cause and Effect.” To receive happiness, peace, love, and friendship, one must BE happy, peaceful, loving, and a true friend. Whatever one puts out… Read More
  • God Didn’t Wait for You to Believe I came to Avi Synder’s new book, Jews Don’t Need Jesus. . .and Other Misconceptions: Reflections of a Jewish Believer, with a deep desire to say something fresh about this important topic. Now that I have read it, that des… Read More
  • You Can Defeat Distraction By all accounts, we seem to be the most distracted civilization in the history of the world. We are increasingly fragmented in our attention and relentlessly pulled away from many of the basics that make us human. The … Read More
  • What Happens to Us When We Die? by Ray Pritchard   We live in a time when there is great fascination about life after death. A few years ago Raymond Moody wrote a best-seller called Life after Life that detailed the near-death experiences of men… Read More