Recent Posts

PropellerAds

Thursday, April 28, 2016

Kenyatta ataka hatua madhubuti kulinda ndovu

KenyaRais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa wito wa hatua madhubuti kuchukuliwa dhidi ya biashara haramu ya pembe, kabla ya kongamano la viongozi wa bara Afrika la kujadili mikakati ya kuwalinda ndovu.
Rais Kenyatta amesema kuwa ndovu wanakabiliwa na hatari ya kuangamizwa na kizazi kipya cha wawindaji haramu, waliojihami vilivo na walio na uhusiano wa kimataifa, na matokeo yake yamekuwa mabaya sana.

Related Posts:

  • Katumbi atangaza atawania urais DR Congo Mwanasiasa maarufu nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo Moise Katumbi amethibitisha kuwa atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba. Mfanyibiashara huyo na gavana wa zamani wa jimbo la Katan… Read More
  • Maafikiano ya kusitisha vita Syria Marekani inasema kuwa makubaliano yameafikiwa na Urusi ya kuongeza muda wa usitishwaji mapigano nchini Syria ikiwemo kwenye mji unaokumbwa na mapigano wa Aleppo. Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani John Kerr… Read More
  • Snura aomba radhi kwa wimbo uliofungiwa Tanzania Msanii Snura Mushi ambaye wimbo wake wa Chura ulipigwa marufuku na serikali ya Tanzania ameomba radhi na kuahidi kutekeleza maagizo ya serikali. Wimbo huo ulipigwa marufuku na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambay… Read More
  • Muziki wa Snura wapigwa marufuku Serikali ya Tanzania imepiga marufuku wimbo na kanda ya video ya muziki kwa jina chura wa msanii Snura Mushi kuchezwa katika vyombo mbalimbali vya habari hadi pale msanii huyo atakapoufanyia marekebisho wimbo huo. Vilevi… Read More
  • Chama tawala Uturuki kuchagua kiongoziRipoti kutoka nchini Uturuki zinasema kuwa chama tawala cha PKK kitakutana baadaye mwezi huu kumchagua kiongozi mpya kufuatia wiki kadha za tofauti kati ya viongozi wawili wakuu wa chama hicho. Mkuu wa chama waziri mkuu Ahm… Read More