Ibada maalum imeendelea leo huko Korea Kusini
kuadhimisha miaka miwili ya kuwapoteza watu mia tatu
wa taifa hilo ambapo wengi kati ya hao wana funzi,
ambao walikufa kutokana maafa kivukoni.
Ndugu waliokuwa wakiomboleza walionekana wakirusha
maua baharini karibu na mahali ambapo kivuko cha
Sewol kilipunduka.
Kikosi cha uokozi kinajiandaa kukiibua kivuko hicho ili
kuweza kupata miili ya watu wengine tisa ambao bado
hawajapatikana. Wakati kivuko hicho
kikizama,inasemekana kilikuwa kimebeba uzito uliozidi
uwezo wake kisheria.
Nahodha wa kivuko hicho tayari anatumikai kifungo cha
maisha gerezani kwa kosa la mauaji kizembe.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 9, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 9,
2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma za Mag...
23 minutes ago