Home »
» UK yashauriana na Cuba
Waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza Philip Hammond ameshiriki kikao cha mzungumzo na mwenzake wa Cuba Bruno Rodríguez, katika ziara ya kwanza tangu mapinduzi ya mwaka 1959. Mazungumzo hayo yalijikita katika vigezo vinne muhimu: huduma za kifedha, kawi, elimu ya juu na utamaduni.
Related Posts:
band ya muziki yamzingua Trump kucheza muziki wao
Wanamuziki wa The Rolling Stones
wamemtaka mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha Demokrat Donald
Trump kuwacha kucheza muziki wao wakati wa kampeni zake za urais.
Bendi
hyo imetoa taarifa ikisema kuwa mgombea huyo… Read More
Shambulio Syria huenda ni ‘uhalifu wa kivita
Afisa wa cheo cha juu wa Umoja wa Mataifa anasema kuwa shambulizi la
angani katika kambi moja ya wakimbizi nchini Syria, linalohofiwa
kusababisha vifo vya watu 30, huenda likaorodheshwa kuwa uhalifu wa
kivita.
Mkuu wa kit… Read More
Busu la Bieber na aliyekuwa mpenziwe lavutia Instagram
Picha ya mwanamuziki Justin Bieber
akimpiga busu aliyekuwa mpenziwe Selena Gomez ndio picha iliopendwa na
wengi katika mtandao wa instagram.
Imependwa na watu milioni 3,569,000 huku watu 350,000 wakiipenda dakika 15 tu ba… Read More
Mfanyabiashara Jacob Juma auawa Nairobi
Mfanyabiashara mashuhuri Jacob Juma,
ambaye amekuwa akizua mjadala mitandaoni Kenya kutokana na ujumbe wake
anaoandika hasa kwenye Twitter, ameuawa kwa kupigwa risasi jijini
Nairobi.
Taarifa zinas… Read More
Bomoabomoa yaanza Nairobi baada ya mkasa
Serikali ya jimbo la Nairobi imeanza kubomoa nyumba ambazo maafisa wanasema hazifai kuishi watu.
Shughuli hiyo inatekelezwa baada ya jumba moja la makazi la ghorofa sita kuporomoka Ijumaa wiki iliyopita na kuua watu 36.
W… Read More