Recent Posts

PropellerAds

Wednesday, June 15, 2016

Pistorius atembea mahakamani bila miguu bandia

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amefikishwa mahakamani bila ya miguu yake ya bandia, wakati wa kusikizwa na kuamuliwa kwa kesi ya mauwaji yanayomkabili.
Mwanariadha huyo alisimama kizimbani kwa mikongojo, akiinamisha kichwa chake, huku wakili wake Barry Roux, akirejelea kilichotukia usiku wa mauwaji ya mpenziwe Reeva Steenkamp, miaka mitatu iliyopita.
Alisema kuwa Bwana Pistorius, alipoteza kila kitu na hatoweza kurejelea taaluma yake tena ya kukimbia.
Binamu wa Bi Steenkamp, Kim Martin, aliiambia mahakama hiyo kuwa mwanariadha huyo amekataa kuelezea namna mauwaji hayo yalivyotekelezwa.

Related Posts:

  • MAGAZETI YA LEO TZ,MARCH 29 Read More
  • Ajali ya ndege yawaua watu 7 CanadaWatu saba wamefariki baada ya ndege moja ya kibinafsi kuanguka katika kisiwa cha mashariki ya pwani ya Quebec. Mamlaka imesema kuwa ndege hiyo ilianguka ilipokuwa ikikaribia uwanja wa ndege wa Madeleine huku kukiwa na upepo m… Read More
  • 'Al-Shabab 100 wauawa' vitani SomaliaKiongozi wa jimbo la Galmudug, katikati mwa Somalia amesema wanajeshi wa jimbo hilo wamewaua zaidi ya wapiganaji 100 wa al-Shabab kwenye mapigano yaliyodumu siku nne. Wapiganaji hao wa Kiislamu walikuwa wameingia jimbo hilo w… Read More
  • Aliyesaidia El Chapo kulangua pesa anaswaMaafisa wa usalama nchini Mexico wamemkamata mwanamume wanayesema alisaidia kulangua pesa kwa niaba ya mlanguzi wa mihadarati Joaquin Guzman, aliyejulikana sana kama "El Chapo" au "Shorty". Juan Manuel Alvarez Inzunza, kwa ji… Read More
  • Marekani yalalamikia UN kuhusu IranMarekani na washirika wake kutoka Ulaya wameulalamikia Umoja wa Mataifa kuhusu hatua ya Iran ya kufanyia majaribio makombora ya masafa marefu. Mataifa hayo yamesema majaribio hayo yanakiuka azimio la Umoja wa Mataifa. Azimio … Read More