Recent Posts

PropellerAds

Thursday, June 2, 2016

Dawa zilimuua Prince:Madaktari

Uchunguzi wa kidaktari kutoka jimbo la Minnesota nchini Marekani umebaini kuwa mwanamuziki Prince alikufa kutokana na kuzidisha kiwango cha dawa.
Kwa mujibu wa madaktari waliofanya uchunguzi huo wa kifo cha mwanamuziki Prince, wanasema alizidisha kiwango cha dawa za kutuliza maumivu zijulikanazokama Fentanyl .
Dawa hizo zinadaiwa kuwa na nguvu mara hamsini zaidi ya dawa za kulevya za Heroin.
Hata hivyo dawa hizo hutumika wakati wa upasuaji na hasa wagonjwa ambao miili yao ni sugu kwa dawa nyingine za kutuliza maumivu.
Prince alikutwa amefariki dunia mwezi april mwaka huu, ndani ya lift katika makazi yake huko karibu na mji wa Minneapolis .
Siku moja kabla ya kifo chake inadaiwa kuwa alikuwa akihitaji msaada kutokakwa daktari maalumu kutokana na maumivu aliyokuwa akiyasikia.
Polisi wanaendelea na uchunguzi zaidi kutokana na kifo cha Prince

Related Posts:

  • 5 Surprising Myths About the Three Wise Men Everyone knows the legend of the three wise men's visit to Bethlehem as retold every Christmas. Three Arabian princes followed a star to find baby Jesus, wrapped in swaddling clothes and lying in a manger. They presented … Read More
  • Words Are the Greatest Gifts Words are the secret of Christmas. Even more important than the gifts we purchase, and the packages we wrap, are the letters we write, and the syllables we mouth. And once you discover the secret, you might even spend l… Read More
  • 4 Lifetime Wishes That Spread Simple Joy Because Little Things Matter The Most You have the power to make others smile and feel loved in ways that are simple, sweet, and impactful. A li… Read More
  • 3 Things You Can Do To Prepare Your Children For a Successful Life When Raising Confident Kids Is the Ultimate Goal There is a lot of debate lately over the best way to raise children. “Helicopter” parents—those who try to micro-manage their children’s lives—are berated for raising chi… Read More
  • Rising to Son Power Picture in your mind for a moment a sunrise. Sun rays bursting forth, beautiful color, incredible potential, hope for a new day. The sun, the source of unbelievable and, for all practical purposes, virtually unlimited po… Read More