Home »
» MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE,JUNE 14
Related Posts:
Mwili wa Papa Wemba wawasili DRC
Mamia ya watu wamekongamana nje ya
uwanja wa ndege wa Kinshasa kuupokea mwili wa mwanamuziki Papa Wemba
uliowasili nchini humo kutoka Abidjan
Mwanamuziki huyo ambaye
ametajwa kuwa mmoja ya waanzilishi wa muziki wa kizazi… Read More
Mtoto wa miaka 2 amuua mamake Marekani
Mvulana wa umri wa miaka miwili amempiga risasi na kumuua mamake kimakosa katika mji wa Milwaukee, Marekani.
Mtoto huyo alipata bunduki hiyo sehemu ya nyuma ya gari.
Mwanamke
huyo, Patrice Price, 26, alikuwa akiendesha ga… Read More
Anonymous wavamia mtandao wa wizara Kenya
Kundi la wadukuzi wa mitandaoni la
Anonymous limeshambulia tovuti ya wizara ya mambo ya nje ya Kenya na
kuiba data muhimu, tovuti moja ya usalama mtandaoni imeripoti.
Shambulio
hilo lilitekelezwa chini ya opereshe… Read More
Kim Jong un,Donald Trump,Nicki Minaj wana ushawishi mkubwa
Nicki Minaj,Kim Jong un Donald Trump na Lewis Hamilton wana kitu kimoja kinachowaunganisha.
Huwezi kufikiria kwamba wanaweza kuketi katika meza moja ,lakini wametajwa miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani.
Or… Read More
Facebook yapata faida kubwa
Facebook imeripoti ongezeko la faida
kwa asilimia 195 katika robo ya kwanza ya mwaka huku kampuni hiyo
ikiendelea kupata mapato ya matangazo mapya.
IIiripoti mapato ya
dola bilioni 1.5 katika kipindi cha kati ya mwezi Ja… Read More