Papa Francis amewataka Wakatoliki Duniani
kuwaomba radhi watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia
moja kwa madai kuwa si haki kuwahukumu na
kuwachukulia kinyume kwani kanisa halina mamlaka
ya kuwahukumu.
Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya ndege
wakati akirejea kutoka Armenia,Papa Francis kanisa pia
linapswa kuwaomba makundi mengine ambayo
yametengwa kama vile wanawake,masikini na watoto
ambao wapo katika ajira hatarishi. Hata hivyo baadhi
ya wakatoliki wenye msimamo mkali wamepinga hatua
yake ya kuwazungumzia watu wanaoshiriki mapenzi ya
jinsia moja.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 9, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 9,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma Magazetini ...
5 hours ago