Kupanda kwa kiwango cha mapato miongoni mwa
mataifa ya Afrika ni habari ya akawaida ,lakini wakati
huohuo watu hulalamika kwamba hawafaidiki.
Tatizo moja ni kwamba idfadi ya watu katika bara hili
pia inaongezeka ikimaanisha kwamba kipato cha mtu
mmoja hakiongezeki haraka.
Kuna swala la vle utajiri huo mpya unatumika.
Utafiti wa taasisi ya London ya Legatum ilioripotiwa na
gazeti la Financial Times inasema kuwa kile ilichokitaja
kwamba kimeimarika hakijaimarika katika mataifa
mengi.
Ukuwaji wa uchumi unapimwa kulingana na kuimarika
kwa sekta za biashara,Afya na elimu.
Mataifa kama kenya,Afika Kusini ,Rwanda,Mozambique
na Cameroon yanayonekana kufanya vyema.
Lakini Nigeria ,angola na Sudan miongoni mwa mataifa
mengine hayafanyi vyema.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 9, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 9,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma Magazetini ...
5 hours ago