Wizara ya afya ya Kenya imekuwa
ikitoa tahadhari dhidi ya matumizi ya uvutaji wa shisha ,katika siku hii
ya kuadhimisha siku ya tumbaku duniani.
Siku hii ilitengwa na Shirika la Afya duniani kuwaonya watu kuhusu hatari za uvutaji wa sigara.Katika chapisho lao la Twitter , wizara hiyo imesema imepata
chembechembe za dawa aina ya cocaine na dawa nyengine katika sampuli 4
kati ya 5 zilizotolewa kwa bidhaa za tumbaku ambazo hutumiwa na watu
ambao hutumia viko kuvuta tumbaku.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 9, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 9,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma Magazetini ...
5 hours ago