Bashir kuacha madaraka 2020 SudanRais wa Sudan Omar al-Bashir ameambia BBC kwamba
ataondoka madarakani mwaka 2020 muhula wake wa
sasa utakapomalizika.
Bw Bashir pia amekanusha tuhuma kwamba wanajeshi
wake wamekuwa wakitekeleza dhuluma kwenye vita vipya
dhidi…Read More
FELEX NTEBENDA:MARUFUKU
VIROBAMkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amepiga
marufuku uuzwaji wa kilevi aina ya kiroba katika mkoa
huo.
Alisema uamuzi huo unatokana na vijana ambao ni
nguvu kazi ya taifa kushindwa kufanya kazi na kulewa
wakati wa kazi.
Ai…Read More
Watumishi hewa wamponza mkuu wa mkoa
TanzaniaaRais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametengua
uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Shinyanga kutokana na
kuwepo kwa watumishi hewa.
Bi Anna Kilango Malecela alitangaza kwenye vyombo
vya habari kuwa mkoa wake hakuwa na watumishi
hew…Read More
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Do Everything Without Grumbling
-
[image: Image result for Do Everything Without Grumbling]“Do all things
without grumbling” (Philippians 2:14). It’s remarkably easy to breeze by
this comm...