Recent Posts

PropellerAds

Friday, June 17, 2016

Mkewe Obama amtambua mbunifu kutoka Kenya

Mkewe rais wa Marekani Michelle Obama amemsifu mjasiria mali kutoka Kenya mwanzilishi wa kampuni inayotengeza biadhaa za watoto bi Wanjiru Waithaka Waweru.
Katika dhifa ya jioni iliyoandaliwa kwa heshma ya wanawake bi Wanjiru Waithaka Waweru, ambaye ni mhandisi/Msanifu mijengo ambaye amegusa maisha ya wengi kwa njia yake ya kipekee ya ubunifu wake unaozingatia maslahi ya watoto.
Shirika lake la FunKidz, lilitajwa kama moja ya kupigiwa mfano na kuigwa kote duniani.
Funkidz ilikuwa moja kati ya mashirika yanayongozwa na wanawake 10,000 kutoka Afrika Mashariki, mataifa ya Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika yanayotambuliwa na Goldman Sachswhich kwa mchango wao.
Japo Bi Obama alikuwa ni mifano mingi tu ya kusimulia faida ya mikopo kwa wanawake inayotolewa na Goldman Sachs chini ya mpango maalum wa ''10000 Women'' bi Obama alichagua kusimulia kisa cha Wanjiru Waweru ambaye ubunifu wake wa kuunda bidhaa zinazozingatia hadhi ya mtoto mwafrika ni wa kuigwa.
''Ciru anatokea Kenya,,,kwa hivyo yeye ni kama familia kwangu''
Yeye ni mbunifu wa bidhaa za watoto zenye nembo ya Funkidz''
''Najua kuwa alikuwa na matatizo mengi mno kupata mtaji wa biashara yake lakini bidhaa zake ziliwavutia wakenya wengi mbali na kina mama kutoka kote barani Afrika '' alisema bi Obama.

Related Posts:

  • Turks & Caicos: Nchi inayoongozwa na wanawake Wanawake wengi bado hawajapata fursa ya kuchukua nyadhifa za juu katika nchi nyingi, lakini hiyo ni kinyume kwa Taifa la Caribbean la Turks & Caicos au TCI. Mwezi Disemba taifa hilo ambalo ni koloni ya zamani ya Uing… Read More
  • Isaiah 54:10 Isaiah 54:10 10 Though the mountains be shaken and the hills be removed, yet my unfailing love for you will not be shaken nor my covenant of peace be rem… Read More
  • Muhandisi wa zamani wa shirika la maswala ya angani Nasa ameajiriwa na kampuni ya teksi Uber kusaidia katika utafiti wake wa kutengeza magari yanayoruka. Mark Moore anajiunga na Uber kama mkurugenzi wa uhandisi wa angani.… Read More
  • Mkalimani ‘feki’ aliyedaiwa kumpotosha mtali kwa tafsiri aomba radhi Tanzania Mkalimani anayedaiwa kutafsiri maneno yasiyo sahihi kutoka kwa mmoja wa watalii aliyetembea hifadhi ya Ngorongoro, hatimaye ameibuka na kuomba radhi kutokana na video hiyo iliyosambaa kwa madai kuwa alikuwa katika mazin… Read More
  • Viongozi wa madaktari Kenya wafungwa jela mwezi mmoja Mahakama ya masuala ya wafanyakazi nchini Kenya imewahukumu viongozi saba wa chama cha wahudumu wa afya (KMPDU) kufungwa jela mwezi mmoja kwa kukaidi agizo la kumaliza mgomo ambao umedumu kwa zaidi ya miezi miwili. Jaji … Read More