Recent Posts

PropellerAds

Monday, June 20, 2016

Donald Trump anusurika kuuawa

Mwanamume mmoja raia wa Uingereza anayetuhumiwa kwa kupora bunduki ya afisa mmoja wa polisi katika mkutano wa kisaiasa wa Donald Trump, amewaambia wapelelezi wa Marekani kuwa, alitaka kumuua kwa kumpiga risasi na kumuuwa mgombea huyo wa kiti cha Urais wa chama cha Republican.
Kwa mjibu wa stakabadhi za mahakama, Michael Sandford anasema kuwa aliendesha gari hadi Las Vegas akiwa na nia ya kumpiga risasi Bw Trump siku ya Jumamosi.Awali Donald Trump alimtimua Maneja wake wa kampeni Corey Lewandowski kwa kutofautana naye katika kauli zake.
Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden amemlaum Trump kwamba kauli zake ni za hatari

Related Posts:

  • Rais Yoweri Museveni aapishwaYoweri Museveni leo ametawazwa rasmi kuwa Rais mpya wa Uganda kwa muhula wa tano mfululizo.Tayari Rais Museveni amekwisha tawala miaka 30. Kutawazwa kwake leo, ambako kunashuhudiwa na viongozi wa mataifa 14 kutoka Afrika na w… Read More
  • Walimu walipwa vifaranga badala ya mshahara Uzbekistan Mji mmoja nchini Uzbekistan umekua ukiwapa waalimu wake kuku kama mshahara badala ya pesa. Mamlaka za mji wa Nukus katika jimbo linalojitawala la Karakalpakstan wamekua wakitia vifaranga wachanga kwa walimu kutokana na u… Read More
  • Everton yamfuta kazi kocha wake Klabu ya Everton imempiga kalamu mkufunzi wake Roberto Martinez baada ya kuifunza klabu hiyo kwa miaka mitatu. Kilabu hiyo ya Martinez ilio katika nafasi ya 12 katika jedwali li ligi ya Uingereza ilishindwa 3-1 na mabingw… Read More
  • Mwanamke afutwa kazi kwa kutovaa viatu vya juu Karani mmoja wa kupokea wageni mjini London alilazimika kurudi nyumbani baada ya kukataa kuvaa viatu vyenye visigino virefu,imebainika. Mfanyikazi huyo wa kampuni ya Temp, Nicola Thorp mwenye umri wa miaka 27 kutoka Hack… Read More
  • Rihanna kuwalipia karo wanafunzi Nyota wa muziki Rihanna amejitolea kufadhili elimu ya wanafunzi kupitia wakfu wake. Hatua hiyo inaamanisha kwamba watu kutoka jamii zisizojiweza watapata msaada wa kulipa ada ya shule. Wakfu huo wa Clara Lionel umekuwa uki… Read More